Mkuu Dunia ya leo nishida, wanafunzi darasani wanawaza ngono tu. Nakumbuka kipindi nipo form one kulikuwa na mabinti wanapiga story za ngono na kuambiana hadi style wanazotumia wakati wakilana na wame za watu. It was 14 years ago.. I do no now days,
Siku hizi hajawahi kuzaa watoto watoto hawa ni wetu tunaopaswa lawama ni sisi wazazi. tumeyaacha mapokeo tuliyopokea kwa wazazi wetu hatukuwapokeza watoto wetu tumeacha wamepokea ya magharibi. Mchawi ni sisi sio watoto wa Siku hizi (asifunzwa na wazazi ataf.........) tuanze sisi wazazi kuwafundisha mkuu
I wish ningekuwepo, kwanza ningerekodi mazungumzo yao yote, halafu nashuka nao kituoni, nawafuatilia hadi kwao nikalonge na wazazi wao ili kunusuru kizazi hiki kuipeleka Tanzania shimoni.