Wanafunzi walipaswa kusoma vitabu vya Mo Dewji, Ghalib Said, Bakhresa na Mengi

Hivi unawezaje kusomea kozi za biashara na kuwastudy wakina Robert kiyosaki au Elon musk wakati kuna matajiri waliofanikiwa katika ardhi yetu, wenye mbinu za kuweza kufanikiwa katika dunia ya tatu. Kiukweli namkubali sana KISHIMBA mbunge wa kanda ya ziwa aliyetoa wazo kuwa wanafunzi walipaswa kusoma vitabu vya akina mo dewji ili kujifunza the real meaning of being an entrepreneur.

Vijana wengi waliosoma mambo ya fedha wanapenda sana kutushauri kuhusu mambo ya Mortgage, bonds, hisa nk ilhali aina hizi za investment ni irrelevant kwetu kwa muda huu ambao tunahitaji kufanya Agricultural revolution.

Ninahisi vijana hawa wanafundishwa vitu ambavyo vina exist ulaya kidogo Africa.

Ni kwa nini serikali isiruhusu hawa matajiri wa tanzania na east Africa kutumika ku inspire vijana wetu, kwanini wasitoe vitabu hawa watu vijana wetu wasome na waendane na mazingira halisi ya EA
We jamaa unajua.
Soma Education for self reliance by Mwalimu utapata madini zaidi
 
Lakini vilevile hili la kuamini kila aliyefanikiwa ni mshirikina ni umbumbu ulio kwenye kiza kinene,ajabu anayetuhumu ndiye hujiona yuko sahihi kwenye mafanikio yake.
 
Kama tunavyoona wawekezaji kutoka nje wanakuja kuwekeza huku; je wangapi wa huku wameenda kuwekeza nje?
 
Hivi unawezaje kusomea kozi za biashara na kuwastudy wakina Robert kiyosaki au Elon musk wakati kuna matajiri waliofanikiwa katika ardhi yetu, wenye mbinu za kuweza kufanikiwa katika dunia ya tatu. Kiukweli namkubali sana KISHIMBA mbunge wa kanda ya ziwa aliyetoa wazo kuwa wanafunzi walipaswa kusoma vitabu vya akina mo dewji ili kujifunza the real meaning of being an entrepreneur.

Vijana wengi waliosoma mambo ya fedha wanapenda sana kutushauri kuhusu mambo ya Mortgage, bonds, hisa nk ilhali aina hizi za investment ni irrelevant kwetu kwa muda huu ambao tunahitaji kufanya Agricultural revolution.

Ninahisi vijana hawa wanafundishwa vitu ambavyo vina exist ulaya kidogo Africa.

Ni kwa nini serikali isiruhusu hawa matajiri wa tanzania na east Africa kutumika ku inspire vijana wetu, kwanini wasitoe vitabu hawa watu vijana wetu wasome na waendane na mazingira halisi ya EA
🙆
 
Huku kwetu bila kuwa muumini mzuri au mtu wa ndumba kutajirika sahau maana utapigwa chuma ulete mpaka uchakae
Na hiki ndicho kitu ambacho wengi waliokipuuza kimewaadhibu, utasikia mbona MO na Bakharesa hawatumii ndumba, swali ni kwamba unawajua, au umeruhusu akili yako kukubali yale unayofunuliwa tu?.
 
Back
Top Bottom