Wanafunzi waliochaguliwa kwenda kusoma nchinI Msumbiji watoswa

mamba1

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
466
248
Habari wana jamvi.
kuna habari moja ya kusikitisha inayowahusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na shahada ya kwanza Msumbiji wametoswa bila kupewa sababu ya kutoswa huko.Hyo ni baada ya wanafunzi hao kuandaa pasport zao tangu mweziwa 11kwa ajili ya safari lakini wamekuwa wakipigwa danadana mpk kufikia hatua ya kujibizana mambo yasioeleweka na mastaafu wa wizara ya elimu. Wengi wao wamekuwa hawatoi sababuza kuahirishwa kwa safari hiyo.baadhi yao wamekuwa wakidai kwamba sababu za kuahirishwa kwa safari hiyo ni kutokana na kuisha kwa mkataba, Wengine wanasema nikwa ajili ya kubana matumizi .k wani wanafunzi waliochaguliwa kwenda huko wanaweza wakasoma hapa hapa nchini, wengine wanasema hamuwezi kwenda nyinyi kwani hzo hela bora tuwapeleke watoto zetu wakasomee Marekani.
MY TAKE: serikali imewapotezea mda nguvu kazi ya taifa kwani vijana haio walikuwa wameset mind zao kwenda huko
pia serikali iache ubabaishaji kwani zilizouiliwa ni semina na warsha na sio wanafunzi maskini wanaokwenda kusoma
wizara ya elimu pia irudishe majina ya wanafunzi TCU kwani italeta shida sana kwa wanafunzi atakeomba degree kwa mara ya pili
pia kumekuwa na usumbuf mkubwa mwanafunzi anaeomba scholarahip mfano Algeria, Maurtius kuombwa pesa na watumishi wasiokuwa waaminifu wizarani
 
Bora wasome hapa hapa nyumbani, msumbiji imeingia kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi na kiusalama, raia na makampuni ya usafirishaji wanashambuliwa kwa risasi kila siku. Juzi mabus matatu yameshambuliwa kwa mvua ya risasi
 
Juzi lkn cc tunatumia ndege hatutumii mabas halaf that is not reason bcoz ss tunaenda kama wanafunz hatuendi kama wapiganaji halafu pia most of students wako maputo kwahiyo sababu zako ni mfu
 
Haya maisha y kufanya ulitakalo badala y taratb (sheria) ndo mwanzo wa hz shda
 
Back
Top Bottom