Wanafunzi wakimbia chanjo?

Wanafunzi wakimbia chanjo?

Admin1988

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
1,611
Reaction score
1,869
Mbio manusura ya kuvunjika miguu, waalimu wawa rudisha bila mafanikio



Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Wamepata dawa za minyoo na kichocho shuleni, leo wakimbie chanjo? Hiyo akili ya kuogopa chanjo watakuwa wameipata sehemu
 
UNA UHAKIKA WANAKIMBIA CHANJO HAO MKUU???HII NI NOMA AISEE
Ilikuwa Jumatatu tarehe 2 Agost 2021,kwenye maeneo ninayoishi, nilikutana na wanafunzi wengi wakirejea nyumbani. Sikujishughulisha kujua tatizo.

Naenda mbele zaidi nilikuta mjadala kwamba wanarudi hawataki kuchanjwa dhidi ya covid19. Mzazi mmoja akapiga simu kwa mwalimu, akajibiwa hakuna chanjo shuleni wala taarifa ya kuwepo kwa chanjo. Mwalimu ameshangaa kuona watoto madarasani wako pungufu.

Hii si ya kusimuliwa, nimeshuhudia.
 
😂😂😂😂😂, mmeyataka wenye na michanjo yenu hiyo, pelekeni michanjo yenu huko kwa wazungu jamaniii, khaaa...
 
Hao wanafunzi wanakhofu ya kurithi, hata babu zao nao walivokua wanafunzi walikua wakikimbia MUMIANI mashuleni.
 
Back
Top Bottom