Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 951
- 412
habari zenu wakuuu,,,,
inasikitisha saana kuona watoto wanafika chuoni na kukataliwa kuwa hawatambuliki, hii ni baada ya wanafunzi waliochaguliwa kupitia nacte kutokutambulika na uongozi wa chuo kikuu dodoma.
nauliza ni kwanini nacte mnawatesa watoto kiasi hiki kwakutopeleka majina chuoni leoo hii wanataka kuandamana katika ofisi zenu kuja dar,
mheshimiwa raisi dk magufuli naomba uangaliee hili swala kwa umakini maana watoto wameshakata tamaa kabisaaa, nina imani mtawaskiliza kilio chao na haki zao wapatiwe.
kazi njema,.