Wanafunzi wafunga Njia Nyerere Road

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Ni maandamano makubwa ya wanafunzi wa sekondari wameanzia maeneo ya Airport, mabango yao yana ujumbe kwamba wameonewa,kuna mwekezaji kajenga ukuta mkubwa karibu na skuli yao kwahiyo ameblock njia.

Sijajua ni shule gani ila wanaandamana kwenda kwa Mkurugenzi Manispaa ya Ilala
.
 
Itakuwa kudai matuta. Sijui Polisi watawatawanya kwa mabomu ya machozi!? Kimsingi,maandamano ni njia sahihi ya kuwasilisha ujumbe na kudai haki
 
Good Good ila hapo mwenye shida ni Mwalimu maana hawa jamaa lazima wamhamishie Pori, ni dalili za uongozi ambao ni dhaifu
 
Ni maandamano makubwa ya wanafunzi wa sekondari wameanzia maeneo ya Airport, mabango yao yana ujumbe kwamba wameonewa,kuna mwekezaji kajenga ukuta mkubwa karibu na skuli yao kwahiyo ameblock njia.

Sijajua ni shule gani ila wanaandamana kwenda kwa Mkurugenzi Manispaa ya Ilala
.

Wana kibali cha Polisi?
 
ahaa hao watoto hawana shida. wa acheni wa tembe kidogo..... inge kua ni chamaa letu lile lakijeshi jeshi.. kinge waka moto. but hao watoto ni malaika wa bwana na watatimiziwa watakacho mapema tu. .. upinzani kwa aina yoyote ile mkiandamana tu lazima kiwake..
 
Sina uhakika lakini njiani tuliona traffic wanashangaaa manake hawaoni magari na badae niliona wanaongea na radio call so huenda wakiwasiliana na wenzao

Tayari tumeshapeleka vijana wetu watayazima maandamano hayo muda si mrefu
 
Back
Top Bottom