Wanafunzi waanza kuonja neema za Udikteta unaosemwa

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Tangu uhuru wa Taifa hili Rais Dr Magufuli anakwenda kuandika record mpya tarehe 1 July 2016 kwa kuwawezesha wanafunzi zaidi ya 98% kukaa katika madawati tangu uhuru wa nchii hii upatikane. Bila kuwa mkali Rais Wangu hili lisingetokea acha wakudhihaki kwani ni tabia ya wadhambi kuwadhihaki watu waliotumwa kuwakomboa katika shida.

Mambo mengi yatakuja nakuishangaza dunia chini ya Dr Magufuli na mataifa yote yataisoma +255
Tanzania ya Magufuli kila kitu kitawezekana na atakayetukwamisha kutekeleza yale tuliyoyaahidi tutambomoa
 
Ni CCM But sio Dr Magufuli kama President, Kumbuka zama zimebaadilika na hii ni Tanzania ya Magufuli ambayo hakuna Mwanafunzi atakae kaa chini mpaka kwenye majimbo ya chadema madawati yanatengenezwa upo hapo
Kwani tangu Uhuru si CCM walikuwa madarakani!! Ingekuwa wameshika wengine na tatizo likaendelea kuwepo ndo ungesema hayo!!
 
Ukawa wao wako kwenye sukari, madawati wamejisahaulisha.

Hiyo sukari nayo wametoka kusema 6000 kwa kilo sasa wako 2400-4000 kwa kilo. Ni mwendo wa kutapata kwa kwenda mbele hawajui wa shike lipi
 
Aibu Sana karne ya 21 viongozi wanakuwa ETI wakali kutafuta dawati za mbao...eti dunia itashangaa!!! Kama elimu Ni ufunguo WA maisha basi wengi wamefungwa maisha.
 
Hahaaaa,hi nchi ina matatizo sana!Mojawapo kubwa ni ujinga!Miaka 50 bado tunakimbizana na madawati?shame,tena michango ya wasamaria ndio mnataka sifa abebeshwe dikteta?Kuna uhusiano gani kati ya uminywaji demokrasia na upatikanaji wa hayo madawati?
 
d7a232b655e3bc672b304002157c2688.jpg

Kweli wataonja uku awana madarasa. Ni sawasawa kupewa kitanda kizuri wakati unalala nje.
 
Tangu uhuru wa Taifa hili Rais Dr Magufuli anakwenda kuandika record mpya tarehe 1 July 2016 kwa kuwawezesha wanafunzi zaidi ya 98% kukaa katika madawati tangu uhuru wa nchii hii upatikane. Bila kuwa mkali Rais Wangu hili lisingetokea acha wakudhihaki kwani ni tabia ya wadhambi kuwadhihaki watu waliotumwa kuwakomboa katika shida.

Mambo mengi yatakuja nakuishangaza dunia chini ya Dr Magufuli na mataifa yote yataisoma +255

Nchi hii kukaa chini haikuwepo wakati wa awamu ya kwanza ya uongozi Ila idadi ya wanafunzi ilikuwa ndogo either! Awamu ya kwanza shule ilikuwa eneo utakatifu, maana miongoni mwa majengo mazuri ktk miji, shule nazo zilikuwemo! Kwa wale wa mjini watakumbuka viti na meza za chuma vilivyokuwa vikichukuliwa na wauza karanga toka mashuleni, in fact madawati yalikuwa mengi kuliko idadi ya wanafunzi!
Awamu ya pili ndio ilianza kuonja joto la idadi kubwa ya wanafunzi na mzee mwingi alitoa fomu maalum za kuchangia madawati, na Harambee kadhaa ingawa shida haikupungua ilizidi kuongezeka! Mkapa na Kikwete walilikuza tatizo, si kwa nia mbaya bali ni kwa wema tu, baada ya kuongeza shule za umma zilizocreate more demands za madawati!
Anyway, anastahili sifa raisi na viongozi wenzake, lkn tusibeze kila juhudi za watangulizi, mfano ukimuona mnunua madawati ni shujaa na kubeza wengine waliojenga shule (Lowasa including) itakuwa sio fair!
 
Back
Top Bottom