Wanafunzi waandamana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi waandamana

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Jamiix, Oct 29, 2012.

 1. Jamiix

  Jamiix JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 817
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 80
  WanaJF
  Nimekutana na wanafunzi wengi sana wakiandamana na mabango yaliyoandikwa
  ' HATUMTAKI MWALIMU MKUU ' wakielekea kwa mkuu wa mkoa,wamesimamishwa na
  Polisi na FFU
  eneo la Sakina kwa Idd,Arusha

  Wapo viongozi wakubwa wa polisi na defender zao wanawazuia,vijana wamechachamaa

  Wanalalama ' TUNATAKA HAKI ZETU,TUMECHOKA KUNYANYASWA '

  Shule ya sekondari KIMNYAK
  Mwalimu mkuu Chamle
  Nawakilisha
   
 2. Jamiix

  Jamiix JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 817
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 80
  Mod ni PM nikutumie picha za tukio husika
   
Loading...