Kwani kwenye fomu za mikopo hicho kipengele sie kipo?SMU idea yako ni nzuri lakini si endelevu. Hawa wanafunzi wanaingia chuo kila mwaka. Kwahiyo serikali kila mwaka iwe inanunua laptops? Mie nadhani wao kama hawana vitu vya kufundishiwa kama Maabara ingekuwa rahisi kuelewa tatizo ni nini. Hivi kweli katika elimu yetu priority inaweza kuwa laptop kwa wanafunzi wa Informatics? Umuhimu wa ICT unafahamika tena kwa kila mtu, kununua computer ni moja ila cha msingi professional yoyote inahitaji jitihada binafsi kujiendeleza. Vinginevyo, wanaosoma kilimo watadai matrekta muda si mrefu na wale wa mifigo sijui watadai nini au wanapewa nini. Tujifunze kujitafutia uwezo na si kuwa tegemezi.
<br />
<br />
Huu ni utoto kwakweli. Hivi nani kakwambia laptop na faculty requirement? Laptop ni basic needs kwa kila mwanafunzi haijalishi anasoma nini. Unless muombe kuwekewa maabara maalum kwa ajili ya computer. Yaani utakuwa upuuzi wa hali ya juu kama chuo kitaanza kutoa laptop kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu. Ni mzigo usiobebeka. Nanyi wanafunzi hebu fungueni akilini zetu, jitahidi kufikiria zaidi ya utegemezi.
Pdidi nakubaliana na kauli zako,angalia jinsi mwanachuo mmoja alivyokujibu hapa chini, unaweza ukacheka au ukalia
Kama umeliona hizo, basi fanya hivi: Iambie serikali yako ifutilie mbali nafasi za wabunge woooooteeee wa kuteuliwa. Hizo gharama za hao wabunge wa kuteuliwa ambao ni mzigo mkubwa sana tena sana kwa nchi zitatosha kabisa kuwasomesha hawa vijana.
Thanks
Naona Pdidy umefilisika kimawazo kwa kweli, manake upeo wako wa kuyaona mambo ni sawa kabisa na mtoto wa darasa la pili. Hata hao unaowaita watoto kule UDOM wanafikiri mbali sana kuliko wewe. Suala la laptop kwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu ni jambo la kawaida sana. Hebu tazama nchi jirani ya Rwanda wanafunzi had wa shule ya msingi wanapata laptop bure. Hata kwa Tanzania hilo linawezekana. Achana na mawazo mgando, amka sasa.
Kweli tupu... wanahitaji laptop ili wajiunge FACEBOOK.... KICHEKESHO.... Ivi hawa ndio wasomi wakwanza eehhhh... Yaaani wapuuzi kweli
Nyinyi hamjui hasa kitu gan wana demand hawa vjana: hela zao za special faculty requirements sh. 350000 zmeliwa,walipojaribu kudai wakaambiwa wanadai laptop,.tafuten ukwel ndo mcoment,wa2 wengne ka wanatumia makalio kufikiria
mbona sijaona jinsi ulivyojibu hoja yangu,usinitishie na kusoma kwako nje wala hakujakusaidia chochote,me nilichofanya ni kuweka ukweli kuhusu madai ya wale vijana na sio watu kuskiza habari zilizofanyiwa u-spin doctor,..kweli nimeprove unatumia makalio kufikiria.wewe ni wakutujibu hivi kweli?, mimi nimesoma mambo ya computer nje ambapo nimespecialize kbs na si general comp kama hiyo ya udom na huko kuna wanafunzi hawakuwa na hizo laptop wala pc mdogo wangu walikuwa wakitumia comp labs kufanya projects zao. next time mtadai na software mnunuliwe eg kama visual prolog, spss ambazo bei yake jumla ni sawa na laptop ya dell/acer. Tatizo watoto mnajiona mmesoma sana sijui walioweka comments hapa wakiamua kuweka education levels zao itakuwaje