Wanafunzi wa Vyuo Vikuu binafsi 2020 tusimpigie kura kiongozi anayedharau vyuo vyetu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,679
149,866
Akutakane hakuchugalii tusi.Hili leo limedhihirika wazi hivyo ni wazi wanafunzi mlioko vyuo vikuu binafsi na hata mliosoma katika vyuo hivi siku za nyuma mjue wote mmedharauliwa.

Baba anabagua watoto badala ya kuwa mlezi wa wote!!

Kwa mantiki hii 2020 tuungane kumkataa mtu huyu.

Pole sana Mzee wa Msoga ulijitahidi kukuza sekta binafsi ila mwenzako yuko busy kuingamiza.

Hivi wasomi wa hicho chuo anachokisifia wameifikisha wapi nchii yeye akiwemo?

Sio kila mtu anafaa kuwa kiongozi.
 
Nimemsikia jamaa!!Daah Sizonje anatakiwa ajue kuchagua meneno,hata kama "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu" lakini hii ya Sizonje ni balaaaaa!!

Hata Yesu kuna baadhi ya maswali alikuwa hataki kujibu moja kwa moja,hata walipomuuliza,Wewe ndio mfalme wa Wayahudi?Aliishia kusema "Wewe Wasema".Hii ni maana kuwa sio kila jambo lazima uliseme

Yeye anasema vyeti vya vyuo vingine Tz ukivipeleka kwa muajili lazima akigeuze geuze nyuma na mbele maana elimu yao ni ya kuunga unga,lakini cheti cha UDSM ukimpelekea muajili anakichukua bila hata kukigeuza huku na kule.

Anasema anajua kuna watu watachukia kwa kauli yake hiyo,lakini yeye hayupo kuwafurahisha watu wote wala sio nia yake kupendwa na watu wote!!

Alipomsimamisha Prof Kitila,akasema yeye huwa hachagui "Vilaza",sasa sijui BASHITE DAUD sio chaguo lake?Yaani kuna umuhimu sana wa breki za mdomo
 
sijajua unamaanisha nini labda nirudie kusoma bandiko lako,
 
Back
Top Bottom