Wanafunzi wa UDOM warudishwa 382 tu

Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
408
344
Waziri wa elimu sayansi n.a. teknolojia prof. Joyce Ndalichako ametangaza rasmi kua serikali imewarudisha wanafunzi 382 Kati ya 7882 UDOM kua hao ndo wamekidhi vigezo vya kua pale kwa kupata daraja la kwanza hadi la tatu na kufaulu masomo ya science huku ikiwaondoa wote wasio na sifa na vilevile kuwapangia wengine vyuo vya butimba na kleruu na kuwaagiza wajisomeshe kwa gharama zao wenyewe
 
Muongo!!
 
Subiri usiwe n.a. pupa wala usikurupuke subiri info kamili leo kwenye habari
 
Wangesema ukwel mapema kama hawana mikwanja sio kuwaangaisha watoto wa watu.
Na undergraduate wa mwaka huu kaz wanayo weng wataahirisha mwaka
 
hao 380 ni wale wanaobaki udom then hao wengine wamepangwa vyuo vya serikal au unatak nikulrtee link udawn lod usiprnd kuchukua habri juu juu kama demu
 
hao 380 ni wale wanaobaki udom then hao wengine wamepangwa vyuo vya serikal au unatak nikulrtee link udawn lod usiprnd kuchukua habri juu juu kama demu
Demu nani we m.se.nge kwani hukuona hapo nimeandika wengine wamepangiwa vyuo vya butimba n.a. kleruu we ndo unakurupuka soma post nzima umalize fala wewe
 
achakupotoxha watu nanii ajixomexhe watu bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…