Wanafunzi wa Tanzania 13 waliopata ufadhili wa Masomo nchini Poland wanyimwa Visa na Ubalozi

Serikali ya Poland ina Program inaitwa NAWA- Stefan Banach Scholarship. (The Polish National Agency for Academic Exchange) tangu 2018 ambapo huwa inatoa ufadhili wa Elimu ya Juu kutoka nchi mbalimbali.

The Banach Scholarship Programme​

The objective of the Programme is to promote socio-economic progress of developing countries by raising the level of knowledge and education of their citizens in the form of scholarships for second-degree studies in Polish or in English at Polish universities supervised by the Minister of Education and Science in the field of engineering and technical sciences, agricultural sciences, exact sciences, and life sciences.

The NAWA scholarship may be applied for by citizens of the following countries: Albania, Angola, Argentina, Armenia, Azerbaijan, Belarus, Bosnia and Herzegovina, Brazil, Colombia, Ethiopia, Georgia, India, Indonesia, Iraq, Iran, Jordan, Kazakhstan, Kenya, Kosovo, Lebanon, Mexico, Moldova, Montenegro, Nigeria, North Macedonia, Palestine, Peru, the Philippines, Senegal, Serbia, South Africa, Tanzania, Tunisia, Ukraine, Uzbekistan, and Vietnam.

In addition, the citizens of Albania, Armenia, Azerbaijan, Belarus, Bosnia and Herzegovina, Georgia, Kazakhstan, Kosovo, Montenegro, Moldova, North Macedonia, Serbia, Ukraine, and Uzbekistan can complete second-degree studies in the fields of humanities and social sciences under the Programme, with the exception of philological studies in the field of the beneficiary’s native language.

The Programme is a joint initiative of the Ministry of Foreign Affairs and the Polish National Agency for Academic Exchange in the form of Polish development aid.

In 2021, the existing scholarship programmes that are a joint initiative of the Ministry of Foreign Affairs and the National Agency for Academic Exchange NAWA in the form of Polish development aid, i.e. the Banach Scholarship Programme and the Lukasiewicz Scholarship Programme, had merged into one scholarship programme for young people from developing countries who wish to take up studies in Poland
Source : The Banach Scholarship Programme

2023 16 Jan
"Ever since I was young, I have already dreamed about studying abroad" - says Teddy Ferdinan, a student from Indonesia about his plans. Teddy has been awarded Banach NAWA Scholarship and now studies Applied Computer Sciences at Wrocław University of Technology.

The Banach Scholarship ProgrammeThe objective of the Programme is to promote socio-economic progress of developing countries by raising the level of knowledge and education of their citizens in the form of scholarships for second-degree studies in Polish or in English at Polish universities supervised by the Minister of Education and Science in the field of engineering and technical sciences, agricultural sciences, exact sciences, and life sciences.

The Programme is a joint initiative of the Ministry of Foreign Affairs and the Polish National Agency for Academic Exchange in the form of Polish development aid.

In 2021, the existing scholarship programmes that are a joint initiative of the Ministry of Foreign Affairs and the National Agency for Academic Exchange NAWA in the form of Polish development aid, i.e. the Banach Scholarship Programme and the Lukasiewicz Scholarship Programme, had merged into one scholarship programme for young people from developing countries who wish to take up studies in Poland.Find out more:https://nawa.gov.pl/en/students/forei...
.

View: https://m.youtube.com/watch?v=-9cbmK26Yj4

2023 16 Jan
"I came from Kazakhstan and now I am a student of University of Wrocław, persuing master's degree" - meet our today's guest - Aruzhan Jambul from Kazachstan, who was awarded with Stefan Banach Scholarship from NAWA.The Banach Scholarship ProgrammeThe objective of the Programme is to ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=fQV77US5PSQ
 
Nchini kwetu Tanzania Mwaka huu 2024 vijana wetu 13 wamepata ufadhili huu kwenda kusoma Poland chuo cha Warsaw "University Of Technology " ngazi ya Uzamili (Master's degree). Ambapo wanatarajiwa kuanza Masomo tarehe 19/Februari/2024

Masharti, vigezo, kanuni kama kukubaliwa rasmi na chuo n.k au walipata scholarship lakini vyuo bado kuwakubali kutokana na sababu mbalimbali? Ndiyo maana viza imekuwa tabu n.k
 
Naomba kuiambia serikali kupitia Wizara ya Elimu na Wizara ya mambo ya nje ,kuingilia kati suala hili la wanafunzi wetu waliopata ufadhili wa Elimu (Master's Degree ) nchini Poland.

Serikali ya Poland ina Program inaitwa NAWA- Stefan Banach Scholarship. (The Polish National Agency for Academic Exchange) tangu 2018 ambapo huwa inatoa ufadhili wa Elimu ya Juu kutoka nchi mbalimbali.

Nchini kwetu Tanzania Mwaka huu 2024 vijana wetu 13 wamepata ufadhili huu kwenda kusoma Poland chuo cha Warsaw "University Of Technology " ngazi ya Uzamili (Master's degree). Ambapo wanatarajiwa kuanza Masomo tarehe 19/Februari/2024.

Changamoto iliyopo hadi sasa ni ubalozi wa Poland nchini Tanzania kuzuia kutoa Visa kwa vijana hawa ikiwa tayari walifanikiwa kufanya Interview ya visa tangu tarehe 19 Januari 2024 na Ubalozi wakaahidi Visa zao zitatoka ndani ya siku 14 tu.

Jambo la kushangaza hadi leo hii ni siku takribani ya 25 wanazungushwa na Ubalozi wa Poland na hawatoi majibu yeyote ya kueleweka. Mara ya Mwisho Ubalozi wa Poland waliwaambia vijana wakate tiketi kabisa za ndege ili kuondoka tarehe 18 Februari 2024 yaani siku ya kesho ,Vijana hawa 13 walikata tiketi kabisa wakambiwa waende Jana Ijumaa tarehe 16 Februari kuchukua Visa ila walienda na hawakupewa.Na hivyo leo siku ya J.Mosi Ofisi hazifunguliwi hadi J.tatu na Safari ya walipaswa kuondoka kesho tarehe 18.

Vijana wote wa nchi Jirani waliopata ufadhili huu tayari wameondoka ila vijana wa Kitanzania wanazungushwa kwanini ? . Naomba Wizara ya Elimu ,Wizara ya Mambo ya ndani muingilie suala hili ili vijana hawa wapewe Visa wawahi masomo haraka yanayoanza tarehe 19 Februari 2024 . Lakini hasara ya tiketi kwa hawa vijana inapaswa ilipwe na Ubalozi wa Poland au Serikali yetu iwasaidie kulipa gharama za tiketi.

Natarajia serikali itafanyia kazi suala hili .

Abdul Omary Nondo.
We jamaa banaa,

Serikali yako inatakiwa kuhakikisha inaimarisha huduma za kijamii ili walipa kodi waishi vizuri na kujivunia kodi zao,
Sasa badala ya kupambania huduma za kijamii kama umeme, maji, elimu, barabara zijengwe vizuri kwa kiwango cha lami we unataka serikali ikaingilie maswala ya mtu mmoja mmoja kama hayo ya wanafunzi 13.

Pia kwenye swala la visa ni lazima watoa visa wajiridhishe na viambatanisho vilivyowekwa kwenye maombi na ndio maana swala hilo linatumia muda mrefu.

Sasa wanafunzi hao bado hawajakosa visa ila swala lao linaendelea kufanyiwa kazi hivyo huwezi kutuletea malalamiko kuwa wamenyimwa Visa.
Ndio maana siku zote unapotaka kusaifiri ni vizuri ukaomba visa mapema ili kuepuka mambo kama haya.
 
Me nilienda kuomba visa Poland ya tourism tu; nilinyimwa hata ckurudi kuhangaika tena. Kwa ambao wanawasema wenzao kw oh wajinga cjui kulilia visa; sikilizeni; wame apply scholarship na wamepata; km walikuwa hawataki kuwapa scholarship waafrika wangesema; pia kumbuka hawa watu wa Ulaya, Marekani na mataifa mengine tajiri wanakuja uku kwetu km chooni ila sisi hata kutembea tu, mikutano etc ni changamoto so hasira nyingine is why wao kuja uku iwe rahisi na cc kwenda kule iwe ngumu???
 
Unaelewa hata ukichoandika mkuu? Schengen area ni eneo la Europe ambapo nchi 27 unaweza kutembea visa free na Poland moja wapo. Russia au Romania hazipo kw Schengen sasa unaposema Poland imefukuzwa si kweli? Wanaweza kujitoa baada ya negotiations nyingi na kura km UK ilipotoka EU. Soma vizuri schengen ni kitu gani.
Zamani sana tena walikusanywa na mabus mji mzima wakapelekwa kwao.
Waromania,na warusi wotee walirudishwa kwao by force.
 
Unaelewa hata ukichoandika mkuu? Schengen area ni eneo la Europe ambapo nchi 27 unaweza kutembea visa free na Poland moja wapo. Russia au Romania hazipo kw Schengen sasa unaposema Poland imefukuzwa si kweli? Wanaweza kujitoa baada ya negotiations nyingi na kura km UK ilipotoka EU. Soma vizuri schengen ni kitu gani.
We unajua unachoongea,Schengen ni nchi 5 tu halali wengine wameingia kwa kujipendekeza hawana haki sawa na wakazi.
Walikubaliwa uanachama tu.
 
Naomba kuiambia serikali kupitia Wizara ya Elimu na Wizara ya mambo ya nje ,kuingilia kati suala hili la wanafunzi wetu waliopata ufadhili wa Elimu (Master's Degree ) nchini Poland.

Serikali ya Poland ina Program inaitwa NAWA- Stefan Banach Scholarship. (The Polish National Agency for Academic Exchange) tangu 2018 ambapo huwa inatoa ufadhili wa Elimu ya Juu kutoka nchi mbalimbali.

Nchini kwetu Tanzania Mwaka huu 2024 vijana wetu 13 wamepata ufadhili huu kwenda kusoma Poland chuo cha Warsaw "University Of Technology " ngazi ya Uzamili (Master's degree). Ambapo wanatarajiwa kuanza Masomo tarehe 19/Februari/2024.

Changamoto iliyopo hadi sasa ni ubalozi wa Poland nchini Tanzania kuzuia kutoa Visa kwa vijana hawa ikiwa tayari walifanikiwa kufanya Interview ya visa tangu tarehe 19 Januari 2024 na Ubalozi wakaahidi Visa zao zitatoka ndani ya siku 14 tu.

Jambo la kushangaza hadi leo hii ni siku takribani ya 25 wanazungushwa na Ubalozi wa Poland na hawatoi majibu yeyote ya kueleweka. Mara ya Mwisho Ubalozi wa Poland waliwaambia vijana wakate tiketi kabisa za ndege ili kuondoka tarehe 18 Februari 2024 yaani siku ya kesho ,Vijana hawa 13 walikata tiketi kabisa wakambiwa waende Jana Ijumaa tarehe 16 Februari kuchukua Visa ila walienda na hawakupewa.Na hivyo leo siku ya J.Mosi Ofisi hazifunguliwi hadi J.tatu na Safari ya walipaswa kuondoka kesho tarehe 18.

Vijana wote wa nchi Jirani waliopata ufadhili huu tayari wameondoka ila vijana wa Kitanzania wanazungushwa kwanini ? . Naomba Wizara ya Elimu ,Wizara ya Mambo ya ndani muingilie suala hili ili vijana hawa wapewe Visa wawahi masomo haraka yanayoanza tarehe 19 Februari 2024 . Lakini hasara ya tiketi kwa hawa vijana inapaswa ilipwe na Ubalozi wa Poland au Serikali yetu iwasaidie kulipa gharama za tiketi.

Natarajia serikali itafanyia kazi suala hili .

Abdul Omary Nondo.
Waende UDSM
 
Back
Top Bottom