Wanafunzi wa social science kukosa mkopo` | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi wa social science kukosa mkopo`

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mndengereko, May 1, 2012.

 1. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  wadau embu tulijadilini hili kwa mapana yake kuanzia mwakani wanafunzi wengi watakaoingia chuo watakosa mkopo regrdless umepata division 2 au 1 isipokuwa kwa wale wa education na baadhi science,kwa hiyo cousrse nyingi za social science na humanities kutopata mkopo ,nikiangalia hali za uchumi za wazazi wetu na jinsi wengi ya wanafunzi walivyokosa mkopo mwaka huu wengi walishindwa kuendelea na masomo hivyo kuishia njiani so sorry kwa victim wote wadau embu tupendekeze nini kifanyike nawasilisha
   
 2. b

  busar JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Nawaonea huruma
   
 3. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Tunakoelekea kila mtu atanyimwa mkopo, maana vigezo wanavibana kila mwaka. Tutafika siku watasema wenye div 1 pnt 3 pekee ndio watakopeshwa. Anyway, hawana miaka mingi madarakani.
   
 4. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Meanwhile tujiandae kusomesha watoto wetu! Serikali mpaka lini?
   
 5. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwa mwendo ule wa kuandamana kwenda lumumba inaweza kuleta mantiki kwa uhamuzi huu.Sasa Mbona hakukuwa na bango lililokuwa linazungumzia hili?Au halikuwa na Msingi?
   
 6. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  nimekutana na hii kitu

  MY TAKE: Tumefilisika kimawazo na kiakili kwa nguvu na kasi mpya na tunazidi kupata mtindio. Sina cha kupoteza na cha kusikitikia kwasababu sikumpa kura yangu 2005 na 2010
   
 7. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  piga makofi na vigelegele
   
 8. darubin

  darubin JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 719
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 80
  inasikitisha sana. ila wakati mwingine wanafunzi elimu ya juu tumekosa
  ushirikiano hata kidogo, yaani divide and rule ya jk imeshafanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
  yaani unamwona mwenzio anateseka kisa una mkopo hummuungi mkono.
  kwanini lakini. tusipokuwa makini watoto wa magamba ndo watasoma.
  timbwili timbwili lina wezekana na kufanya vyuoni pakachimbika.
  vilvile tutnataka na wazzazi watuunge mkono,
  siyo tu kulalamika tumekosa adabu huku tukiseka
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  iyo ni mikakati ya wakubwa ili watoto wa maskini wasipate nafasi
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hicho ndicho kinachoendelea kutokea hapa bongo tz..
   
 11. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Bora mikopo ifutwe tu maana wazazi wanapozaa, wanategemea nani asomeshe? serikali? kwani serikali pindi wamefunga madirisha yao usiku ilikuwepo?.
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
 12. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  my take:kama serikali haiwezi kusomesha wanafunzi elimu ya juu basi hata wanafunzi wawe wanapewa chakula ka aboarding if posble alafu mzazi abaki na kazi ya kuclear stationary na ada kulikokumuwachia mzaz kila kitu wakati hali zetu tia maji tia maji
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Ni kiherehere cha wazazi wetu walioipigia ccm kura na kuirudisha madarakani,otherwise yasingetokea haya.wacha tukomeshwe.
   
 14. s

  sugi JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Yaan usome kiswahili na historia halafu upewe mkopo??
   
 15. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  dogo leo umeongea point kwa mara ya kwanza kabisa, SALUTE YOU, I
   
 16. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Kwani wewe unadhani mtoto akizaliwa ni wa mzazi peke yake? Mtoto ni wataifa zima na ndo maana ukimzaa ukamuua taifa litakuhukumu. Halafu usisahau kuwa wazazi wanazalisha na kulipa kodi. Kazi ya kodi hiyo ninini na usisahau kuwa kuna raslimali za taifa ambazo umilikiwa na serikali kwa niaba ya wananchi kama madidi, misitu, ardhi, nishati nk.. huko mapato hupatikana kwa wingi ambayo kiasi cha fedha kinachopatikana badala ya kumpa kila mtanzania huwekezwa kwenye huduma za pamoja kama elimu, afya na maji. hivyo ni wajibu wa serikali yoyote iliyo makini kumsomesha raia wake
   
 17. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Sio tatizo lako ila HUJIELEWI.
   
 18. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160

  Kadakabikile unaweza kuwa fisadi. Fikiri kabla ya kuropoka,sio watanzania wate wanauwezo wa kumudu hizo gharama.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...