Wajumbe (e) na (f) watateuliwa na Waziri mhusika lakini huyo mwanafunzi (g) haijulikani atapatikanaje. Kwa upande wa UDSM haijulikani ni kwa nini Dean awe mwanachama wa Governing Board badala ya Dean wa Mzumbe, Tumaini, etc. Hata hivyo ukianza kujiuliza WHY mara kwa mara utafikia kujiuliza WHY President of Tanganyika Law Society, WHY Principal Judge katolewa na kuwekwa Registrar of Court of Appeal, WHY Deputy Attorney General awe Chairman wa Governing Board badala ya Attorney General mwenyewe, or somebody else? WHY, WHY, WHY, WHY....Finally WHY THE LAW SCHOOL ITSELF!
Kwanza hii inafurahishwa jinsi vijana wanavyokata issues kweli kweli . Mimi kuhusu hayo mabadiliko, kuteuliwa mwanafunzi na Dean Faculty of Law UDSM, nichangie kama ifuatavyo japo machache !
1. Mwanafunzi kuwepo kwenye
BOARD- SIO GENI , hii ilikuwepo hata sheria ile ya
KWANZA please re-read again between the line
BUT what is scaring is the fact that the
BOARD since its establishment pamoja na mikutano yake yote
HAKUNA mwanafunzi ambaye ameshahudhuria kwenye kikao hata
MOJA .... This was a serious violation of the law, and it suffice to say all the decisions made thereof are invalid or null and void if you like .
WHY ?
BECAUSE the law was violated as simple as that ... I am not saying about
CORUM here .
A DECISION is outright invalid if made and the
BOARD is incomptent if a member is missing because has not been nominated ... I am not saying he/she or was away, or sick or unable to attend the meeting. I am saying if a provision of the law states that a
BOARD SHALL be composed of say
6 MEMBERS and
ONLY 3 are appointed, it is an incomptent
BOARD, so the decision
MADE thereof.
ONCE A MEMBER IS APPOINTED OR NOMINATED (ANY HOW) it is
NOT A MANDATORY for a member to attend a
MEETING , could be say
SICK or
AWAY at the time and the meetings goes on and may make decisions unless a questions of
CUROM arises,
A DECISION WILL BE IS VALID, if CORUM issue arises it is another issue. This is not what I am trying to explain. Mwanafunzi hajawaki kuchaguliwa therefore THE
BOARD IS INCOMPETENT (kama sheria inavyosema ), AND
SO THE DECISIONS MADE THEREOF.
2. Kuhusu Dean USDM kwanza kabisa there is
NO any valid reasoning ni
MAMBO YA CUT AND PASTE Sheria nyingi zimekuwa zikiandika hivyo hata The Advocates Act, please read, section decribing the composition of the CLE
In the previous law " The Law School Act Rules/ Subsidiary legislation, the position was changed and it read" A Dean from Faculty of Law from any University" Please note that my quotation should not any way be read to mean I have taken as it is from the Act but something of that kind, I have just shown my emphasis that there was that change.
If in the allegedly Amendment has repeated a mistaken " Dean Faculty of Law UDSM then ujue ni
CUT AND PASTE BUSINESS" - Ndugu Buchanan you know should what I mean, in your contribution you said a certain law was copied and it contained the word KENYA .... It is shame kama tuna PASTE Mpaka jina la Nchi ....
I once wanted to read the Law School of Tanzania Act, thinking that nitawezatu kukuta somewhere a word either "
Republic of Kenya au Uganda au Nigeria au South Africa and UK . Unfortunately I did not get time to read, even though sijui hata ni ipi ningesoma because kwajinsi wachangiaji mbalimbali walivyochangia ni Dhahiri kuna sheria za Law School zaidi ya
MOJA . Mfano Act N0.5 2007, Act N0.18 2007 etc ..... kazi kweli !
KUMRADHI KWA KUTUMIA MFANO HUU :
I am more that sure that the whole Act was copied that is why many things are not proper until now, wamepaste bila kuangalia ukweli kwamba labda nikitumia lugha ya
CCM ( NIMEOMBA RADHI) unaweza kusema ni kama vile " HAITEKELEZEKI" WHY ? VIKWAZO NI VINGI
CCM huwa kuna kamati ya
MAALUM huo inatengeneza
ILANI YA UCHAGUZI then Mgombea URAIS anakabidhia tu baada ya kushinda KURA ZA MAONI ndio maana wakishaingia Madarakani wanasema haitelelezeki PLEASE DO NOT GET ME WRONG< I AM NOT POLITICIZING BUT my point is, hawa jamaa wanashindwa kutekeleza sheria kwa sababu wame CUT AND PASTE ...
HAWAJATENGENEZA WAO - SIWATETEI HAPA
Labda ni ulize kama hawakufanya hivyo kwanini haya matatizo tena madogo na ya kiufundi yametokea wapi ! Mawakili wanalalamika, wakati ndio wadau wakubwa ni dhahiri kwamba hii sheria ina WALAKINI MWINGI !
THIS IS ONLY MEANT TO PROVOKE A DISCUSSION AND NOTHING ELSE !
KARIBUNI TUJADILI KWA AFYA ZETU !!
REGARDS !