TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Wanafunzi zaidi ya 40 wa shule ya Sekondari Manzese Dar es Salaam wameanguka wakiwa shuleni na kupoteza fahamu, huku wengine wakitoka madarasani na kukimbia hovyo. Uongozi wa shule umegoma kulizungumzia tukio hili.
Chanzo: Radio One Stereo
Yatakuwa mapepo machafu ya uwanja wa fisi