Wanafunzi wa kwiro sec wagoma

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,033
1,500
Tangu jioni mgomo umeanza na unaendelea hapa Kwiro Sec. Wanafunzi wamechoshwa na ufisadi na unaombatana na uzembe. Vifaa walivyolipia wapewe kama unifomu na vifaa vya shule havitolewi na walimu hawafundishi kabisa. Wale wa A level wakiingia darasani dk kidogo wanapiga tu porojo halafu haooo wanaishia. Wanafunzi wanadai haki ya kufundishwa. Jana Afisa Elimu wa wilaya alikuja na polisi na mabomu hata hivyo mgomo haujaisha. Bodi imekaa na Afisa Elimu wa wilaya amerudi lakini bado mgomo haujaisha. Source: Mtu aliye katika tukio.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom