Wanafunzi wa kwenda form five wanachaguliwa lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi wa kwenda form five wanachaguliwa lini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ALLY KILUNGUZO SALUM, Feb 14, 2011.

 1. A

  ALLY KILUNGUZO SALUM Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 28, 2007
  Messages: 50
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  WanaJF naomba kama kuna wadau wanaojua ni lini wanafunzi waliomaliza form four 2010 wanachaguliwa kwenda form five anijulishe tafadhali kupitia humu jamvini.
  Kuna watoto wetu wanasubiri tukio hilo!
   
 2. P

  Pokola JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tulia wewe, bado. Tutakuwekeeni kwenye magazeti. Kwa wale wa serikali.com. Sawasawa??
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Waambie wawe wapole tu matatangaziwa manake bado! Mwezi ujao frm zitafunguliwa so any tym kuanzia katikati ya huu mwezi!
   
Loading...