SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,337
- 4,665
Acha kupotosha mkuu
Heshimu imani za wengine kama wewe unavyoheshimiwa na wenzio
Imani za wengine tena? Sio Imani kwa Mungu? Basi, Mungu ni mmoja tu na naye utaratibu wake Wa namna ya ku-deal nayeulishaelezwa naye kwa njia ya Mwanaye. Haya ya kushindwa kufanya mambo muhimu katika maisha yetu sababu ya kikwazo cha siku ni mojawapo ya mambo ambayo alishayakataa. Yeye amemuumba mwanadamu na kumuweka juu ya viumbe vyote na juu ya majira na nyakati zote. Mwanadamu ndiye mpangaji Wa majira na nyakati.Ni mratibu Wa majira na nyakati.