Wanafunzi wa kike kutoboa Pua hasa shule za msingi ni sawa?

Msukusu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
250
Reaction score
485
Watoto wengi hasa wa kike wamekuwa Na tabia ya kutoboa Pua, Na mtoto unakuta hata umri wa miaka 18 hajafikisha. Najua fika shule huwa Na sheria Na taratibu je walimu wameruhusu wanafunzi kutoboa Pua au ni wazazi?

Inasiktsha binti Mdogo katoboa Pua mzazi Una mruhusu eti ni urembo. Zaman shuleni ulikuwa huruhusiwi hata kusuka, kufuga kucha Na kupaka rangi kucha. Kwann maadili haya yanashuka wa kulaumiwa ni nani wazazi, walezi au walimu?
 
Mtoto mwenye umri chini ya miaka 18 anaweza kujiamulia mambo mazito kama hayo mwenyewe?

Nadhani itakuwa Kuna influence ya Mzazi mwenyewe.

Hapo ni suala la Wazazi kukubali kubadirika, hata kama ni suala la usasa lakini mjue mnaandaa kizazi cha hovyo siku za usoni.
 
Tatizo badala ya mzazi awe na maamuzi kwa mtoto, mtoto ndiyo anamwamulia mzazi.

Shida inaanzia hapo.

Binafsi ninaamini kwa dhati kabisa, mambo mengi yanayokuja kama fasheni hasahasa kwa msukumo wa internet/social media yatazame kwa jicho lenye hekima tofauti na hapo utatumbukia shimoni.

Mtoto hapaswi kupewa uhuru wa kuamua jambo lolote tu kisa anapenda au ni fasheni. Atapotea.
 
Ukimkuta undr 18 anamotobo puani ujue hiyo ni mipango ya mzazi/mlezi ni sawa na kumtoboa masikio mtoto mwenye miaka 2
 
Mtoto mwenye umri chini ya miaka 18 anaweza kujiamulia mambo mazito kama hayo mwenyewe?

Nadhani itakuwa Kuna influence ya Mzazi mwenyewe.

Hapo ni suala la Wazazi kukubali kubadirika, hata kama ni suala la usasa lakini mjue mnaandaa kizazi cha hovyo siku za usoni.
Wazazi wanataka waalimu ndio wawafundishie watoto wao kila kitu
 
Sote tunajua jinsi utafutaji wa hela unavyotufanya Wazazi tukose muda wa kukaa na watoto lakini tujitahidi walau hata mara 2 kwa wiki kuweza kuwapa abc za maisha pamoja na kukagua maendeleo yao ya Shuleni.

Jukumu la Malezi tusiwaachie Walimu peke yao
 
Watoto wengi hasa wa kike wamekuwa Na tabia ya kutoboa Pua, Na mtoto unakuta hata umri wa miaka 18 hajafikisha. Najua fika shule huwa Na sheria Na taratibu je walimu wameruhusu wanafunzi kutoboa Pua au ni wazazi?

Inasiktsha binti Mdogo katoboa Pua mzazi Una mruhusu eti ni urembo. Zaman shuleni ulikuwa huruhusiwi hata kusuka, kufuga kucha Na kupaka rangi kucha. Kwann maadili haya yanashuka wa kulaumiwa ni nani wazazi, walezi au walimu?
Uku kwetu mwanamke kutobooa pua ni ishala ya muuzaji[mdangaji] so ukiona hivo hata usitongoze we muulize bei gani
 
Mambo yanabadilika kwa haraka sana.
Kwenye Jamii niliyotoka kutoboa pua au masikio ni kitu cha kawaida ..yaani ni urembo tu na mtoto wa kike hutobolewa pua kwa ajili ya kuvaa Kipini na hutobolewa masikio kwa ajili ya kuvaa heleni hata kabla hajafikisha mwaka mmoja.
 
Kama sisi nyumbani kwetu watoto wa kike tulitobolewa pua tukiwa wadogo kabisa nahisi hata Primary tulikuwa hatujamaliza.
 
Ni kweli..wanatobolewa wakiwa wadogo ili wapone haraka..halafu ili kuzuia hilo tundu kuziba kilikuwa kunawekwa kijiti ili utakapokuwa mkubwa na uwezo wa kununua hereni au kipini pasiwe pameziba.
 
Back
Top Bottom