Andie
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 713
- 1,641
kanisa livunjwe kwani limejengwa na serikali?mtazamo wa tukose wote simply because wewe hauna ni mtazamo finyu sana.wajaribu kuomba eneo kama litakuwepo wajenge wenyewe lakini kwa serikali kuwajengea NO!,kumbe ndiyo maana walitaka mahakama ya kadhi iendeshe kwa fedha za serikali wanapenda mambo ya dezo dezo,au kama uwezo wao unaishia kununua spika wafanye mpango na mtoto wa gadafi awajengee kabla hajafanyiwa kitu mbaya!
mi wananipa hasira ajabu. Eti wajengewe msikiti, hawa watu washari kweli mungu angewapa sayari yao, aaaah