Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,544
- 1,760
kwani wakijengewa msikiti/wakijenga msikiti karibu na shule ni kosa? mbona shule znyingi za serikali zilizokuwa za dini zina misikiti ndani au karibu na shule? i dont see any problems here for them to have labda kama kuna behind the window reasons lakini nina uhakika headmaster hawezi kufukuza wanafunzi kisa wameomba kujengewa nyumba ya ibada kutakuwa na reason nyingine ambayo hawa wanafunzi watakuwa wamefanya
Umemuelewa mtoa mada??
Haikatazwi kujenga ila kwa wahusika na sio sekali kwan serekali haina DINA. Then full stop