sure!wanaendekeza umasikini wa fikra
ila kwenye ofisi zingine hasa za serikali naona mambo ya kutongozana na kupeana mavituz ni sehemu ya maisha yao, utakuta bosi anawapanga mstari tu watu wa chini yake! na huwa wanajuana ila hawalalamiki maana wanaamini ndio njia mojawapo ya kupata unafuu wa maisha kazini! mi naona ni kujidhalilisha tu