Wanafunzi unganeni Tanzania nzima mfanye mgomo

Mleta uzi kwa maelezo yako, acha waendelee kukosa tu hiyo mikopo, mpaka watakapojitambua na wewe pia akili zitakaporudi, wanaweza wakapewa mikopo!
 
Kuandamana na kugoma mtakuwa mmempa sababu ya kuwafukuza vyuo cha msingi ni kusubili tu waangaike na visingizio vyao mwisho vtaisha tu au kutafuta njia nyingne ya kudai haki yenu ni kwenda mahakamani tu lakini kugoma au kuandamana kwanza mtapigwa pili chuo mtafukuzwa

Na pia wanafunzi wa vyuo amna history nzuri na serikali bhasi tu nyny mnaonekanaga kama ni washabiki wa sehemu flani flani hv
 
kijana Ugome kwani umeambiwa kupata mkopo ni lazima?? Unajua sheria za HESLB..??
Na nakuomba uondoe hiyo thread yako..
 
Acha upumbavu kijana... Ugome kwani umeambiwa kupata mkopo ni lazima?? Unajua sheria za HESLB..?? ******** mkubwa wewe..
Na nakuomba uondoe hiyo thread yako..
Mkopo sio lazima lakini ukishakopeshwa lazima sheria mlizojiwekea zifuatwe.
 
Kaandamane ukione
Siwezi kuandamana kwa sababu mimi nishamaliza kitambo kusoma ila nawaonea huruma kila siku thread za mambo ya mikopo mkilalamika kwa hiyo ushauri wangu ndio ukawa huo


Anzeni kugoma na sisi kama kaka zenu tutawatetea
 
Wale wa jkt waanze
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…