Wanafunzi tuliosoma Uganda tunafanya vipi maombi TCU?

Ngoja ni kusaidie ni hivi hakuna Mtz aliyefaulu kwa daraja la juu yaani I-II akaenda kusoma Uganda, Kenya sijui Malawi &Co. wote wanaokwenda huko ni wale ambao hawakufaulu vizuri hapa TZ na kukosa na nafasi, hiyo ndiyo tafsiri halisi kwa kifupi hakuna MTz aliyepata daraja la I - II akaondoka na kwenda kusoma Uganda, ni rahisi kihivyo tu!
Thanks brother kwa jibu maridhawa kabisa
 
Ngoja ni kusaidie ni hivi hakuna Mtz aliyefaulu kwa daraja la juu yaani I-II akaenda kusoma Uganda, Kenya sijui Malawi &Co. wote wanaokwenda huko ni wale ambao hawakufaulu vizuri hapa TZ na kukosa na nafasi, hiyo ndiyo tafsiri halisi kwa kifupi hakuna MTz aliyepata daraja la I - II akaondoka na kwenda kusoma Uganda, ni rahisi kihivyo tu!
Kabisa Mkuu sijawahi ona .....
 
Mkuu ni kweli kuwa wote wanaoenda Uganda ni wale ambao hawakufaulu vizuri?.Pia inakupasa ufahamu kuwa kuna wanafunzi ambao wanaanzia chekechea huko huko mpaka O na A level.
Labda kitu nilichogundua ni kwamba Uganda gharama za chuo kikuu ni kubwa mno kulinganisha na Tanzania wakati gharama za sekondari ni kinyume chake,maanake hapa hata vishule vya chekechea vingine vinatoza ada kubwa kuliko ile inayotozwa na baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini.
 
Hao Walimu wamejaa siyo kwa sababu ya ubora wao bali TZ hakuna walimu wa kuziba hilo pengo, ndiyo sababu na ndiyo maana hao Walimu karibia wote wa Kenya, Uganda &Co.wanafundisha Shule za Binafsi lkn hakuna hata mmoja anaweza kupta kazi Shule zetu za Serikali!
Na hizi shule Binafsi ndo zinaongoza kwa matokeo mazuri. Najua hata hili utabisha,
Pia umenishangaza ni pengo lipi waalimu wa tz hawawezi kuliziba, mpka foreigners teachers wazibe, ???
Pia kumbuka ni vigumu sana kwa mgeni kuajiriwa serikalini, labda awe tu consultant.
 
habar nna dgo ataka kwenda kusoma a level uganda 2017 naombeni ushauri wenu kwa lolote mnalo lijua kuhsu kusoma huko ana division 2 ya 21 ila combination alokua anataka PCB haija balance ana DDC respectively karibuni kwa ushauri.........................
 
Msaada jamani,
Kwa wale wanafunzi waliosomea nje ya nchi especially Uganda tunaomba msaada jinsi ya ku apply TCU kwa anayefaham coz mwaka huu inakuwa ngumu kufanya application na hawajatoa sababu yoyote.

TCU? ni UCU!!!!! HAPANA NENO T,
 
habar nna dgo ataka kwenda kusoma a level uganda 2017 naombeni ushauri wenu kwa lolote mnalo lijua kuhsu kusoma huko ana division 2 ya 21 ila combination alokua anataka PCB haija balance ana DDC respectively karibuni kwa ushauri.........................
Uganda uzuri wake unachagua masomo unayotaka.
 
wa uganda wengi vyeti feki tupuuuu
Acha propaganda za kuhisi una uhakika huo na ushahidi wewe? wenzetu wako systematic unadhani ni kama Bongo hapa vyeti feki kama karanga mitaani .Halafu waganda ndo wamejaa private schools za Bongo zinazokimbiza kwenye mitihani ya kitaifa halafu mnaanzaje kusema elimu yao iko chini wabongo bwana kwa unafiki hatujambo
 
mzee nimeanzia primary mpka makerere university , na sjasema kama elimu yao iko chini mzee acha feelings, kuna masomo flani ni lazima kama general paper but the rest unaamua usome masomo yepi, unless system imebadilika now, nimemaliza s.6 on 2007, mitaa ya kikoni, wandegya, chikumi chikumi, nankulabye, watu tumekula sana bata stekout, high table , kabalagala kwa sana , so najua ninachoongea mzee. au unataka nikutajie na sytem nzima ya muk. acha upimbi wewe. kuwa na uhakika kwanza kabla ya kuandika ubashite wako
 
Mkuu umenena vyema kabisa watanzania siku zote tunajiona tupo juu kwa kila idara huwezi mlinganisha graduate wa MUK na wa UDSM hata siku moja na ndio maana ukiangalia kwenye rank ya vyuo bora East africa UG,KENYA wameingia vyuo vingi sana.
Elimu yetu ni yakukalili vitini na si uelewa wa vitu tunavyovisoma hata siku moja huwezi kucompare product ya MUK na vyuo vyetu hivi vilivyojaa uozo.
Tatizo sio vijana wetu wanaosoma vyuoni bali ni system iliyopo kwa kuwaandaa vijana ndo mbovu.
Leo UG,KENYA wanafanya vyema sana kwenye soko la ajira duniani wanawatalaamu wengi sana ambao wanafanya kazi abroad!
 
very sure , ni kweli utasikia elimu yetu iko juu kuliko uganda na kenya , but hao wa udsm tuu hawajwahi hata tengeza pini hapo udsm, pale muk faculty ya mambo ya ufundi nimeona wakitengeneza mashine mbalimbali ambazo zinatumika katika uzalishaji mali kwa waganda, nimeona wakitengeneza hata barabara za pale chuoni wenyewe katika kiwango kizuri tuu, na hata majuzi wameunda basi linatumia umeme wa jua, sio kwamba nawasifia but unafiki tuache, wako vizuri this year wako top 10 among best university in africa, where is udsm , iko sijui 34 huko ?? am proud kuwa product ya muk, hapa kwetu vyuo vimejaa siasa , chuo kama udom kilitakiwa kiwe among the best unii kutokana na miundo mbinu yake lakini ni kinyume mtu mpaka unaskia aibu kusema wewe ni udom product hii yote ni siasa uchwara. hakuna usirias katika elimu kabisa, ni porojo tuu, kubadili viwango vya ufaulu , hii yote ni kutengeneza wapiga kura. [HASHTAG]#inasikitisha[/HASHTAG] sana.
 
Acha propaganda za kuhisi una uhakika huo na ushahidi wewe? wenzetu wako systematic unadhani ni kama Bongo hapa vyeti feki kama karanga mitaani .Halafu waganda ndo wamejaa private schools za Bongo zinazokimbiza kwenye mitihani ya kitaifa halafu mnaanzaje kusema elimu yao iko chini wabongo bwana kwa unafiki hatujambo
Huyu hajui hhata chuo inaitwa MAKERERE kwamba ni ya tatu Africa hii UDSM yetu ya ngapi vile thelathini na ngapi sijui[emoji23][emoji23]
 
Msaada jamani,
Kwa wale wanafunzi waliosomea nje ya nchi especially Uganda tunaomba msaada jinsi ya ku apply TCU kwa anayefaham coz mwaka huu inakuwa ngumu kufanya application na hawajatoa sababu yoyote.
Fanya Degree UG ukirudi ukasajili Degree yako TCU utakua umemaliza bongo saizi hakueleweki dogo
 
Back
Top Bottom