Wanafunzi Tabata waangukiwa na ukuta

Wanafunzi Tabata waangukiwa na ukuta

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
915
Reaction score
54
Habari tulizozipata sasa hivi zinasema kuwa wanafunzi wa shule ya secondary ya Tabata wameangukiwa na ukuta wa shule hiyo,

habari zaidi za majeruhi na vifo kama vipo, tutawaletea tukitoka sehemu ya tukio.
 
Tusaidie tafadhali,kuna ile ya tabata kimanga karibu na kamene na kuna ile iliyo karibu na Dar west Park. Ni ipi kati ya hizi mbili?
Ni ya Tabata kimanga
 
Poleni waathirika. Maana nasikia kuna mvua nyingi na mafuriko huko kwetu (Africa).
 
Poleni waathirika. Maana nasikia kuna mvua nyingi na mafuriko huko kwetu (Africa).


??? unapata wapi hizi taarifa ndugu? Afrika ipi? mbona tunalalamika ukame? Au mara yako ya mwisho kupata habari za huku ni ule wakati wa El nino?
 
Wakuu tujuzeni ni nini kinaendelea na ilikuwaje?
 
Ni sehemu ndogo sana ya ukuta wa jukwaa lililopo shemu ya nje ya complex ya St Mary's International School Tabata. Hakuna madhara yoyote.
 
Back
Top Bottom