Wanafunzi shule ya msingi kuwalimia waalimu mashamba yao.

Nimelima sana.
Nimekata kuni.
Nimekata majani ya ng'ombe wa walimu.

Haya yalikua mambo ya kawaida sana.
 
Duuh poleni sana mkuu...hiyo ishu hadi leo ipo mnaambiwa mlime shamba la shule kumbe la ticha
 
hata maji wanatuchotea. Kama hujaoa wanakupikia mchana wala hupati shida. Ualimu tena wa kijjn raha kwel kwel.
Hapa ninna gunia 20 mahind 5 marage 30 mihogo. Yote ni.
Nasubiri tuu bei
 
Kipindi kile kule kijijini kwetu ilikua walimu wakijenga au wakiwa na ndugu zao wanajenga basinkazi ya mwanafunzi ni kwenda kusomba tofali.... na nyumba ikiisha mnalazimika kuleta nyasi za kuezekea au majani ya migomba yaliitwa "madafa"

Kazi kweli kweli... ila ndo maisha ya kijamaa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom