Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,281
Mbona mimi ni mwanafunzi wa SAUT mwanza!? Na sijatoa ruksa Chadema kuongoza!?
Badilisheni kichwa cha habari andikeni baadhi ya wanafunzi wa Saut watoa ruksa na sio wote.
Bora wewe umesema ukweli kwani umejionea mengi
unajua hawa watoto wa mama wa BAVICHA km kina Nicholaus Kilunga wanafikiria Nchi inaongozwa kwa makelele na maandamano
Hebu waingie mitaani na waanze maisha kwa kujitafutia kazi, kwani wanadanganywa Mabadiliko yakija na ukuu wa Wilaya wataukumba,
Du wangewauliza kina Zitto, Mwigamba, Kitila na wengineo waliokuswa
manenomengi ya nini 25/Oktoba/2015 si mbali