ndo wale wale wa bola liende wasomi wetu wacku hizi nishida.Wameweka taaluma pembeni nakuweka kipaumbele kwenye siasa wkitemwa kwenye interview wanaanza kulalamika kumbe walipoteza muda mwingi kwenye maswala ya kisiasa badala ya kwrnye taaluma nawapa pole sana.