Mwaka 1976 duh!, chumvi unayo! Wengine humu miaka hiyo bado wanapambana na nepi(sidhani kama pampazi zilikuwepo), wengine ndio kwanza wazazi wao wanatongozana ili ije ndoa, mimba halafa waje kwa ndunia nk.
Class of 1976! Yaani mlikuwa mnamaliza? Laiti kama mungekuwa mnaanza I could help a little maana nami nilikuwa hapo. Nilihama early 80 mimi ni mtoto wa mtaa wa Maweni. Born there there!
ila mimi ningependa kukushauri ungespesfy kuwa huo mwaka ni wa kuanza au kumaliza halafu pia na kupa hongera kwani watoto wa enzi hizo waliokuwa wakisoma katika shule hiyo ni wale wa vigogo kwa hiyo pia wengi hawapo nchini wapo majuu na shangaa wewe bado tu ujaoondoka
:laugh:
duuuh!!!!!!!!Au hiyo avatar ime blow cover yangu-yaani umepiga ndipo-hapo st JOSEPH kwa saaaaaana,huyo faridi nawajua kama watatu,labda ujaze details zaidi