Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
R.I.P kwa hali hii sijui..
Toa taarifa kamili. Huyo ni nani na nini chanzo cha kupigwa chake? Yupo hai au ameshafariki dunia? Amepigwa na wanafunzi wa Mzumbe University waliopo chuo kipi, Mbeya, Morogoro au Dar!?Hii ni hatari kwa wasomi....
Toa taarifa kamili. Huyo ni nani na nini chanzo cha kupigwa chake? Yupo hai au ameshafariki dunia? Amepigwa na wanafunzi wa Mzumbe University waliopo chuo kipi, Mbeya, Morogoro au Dar!?
Nashukuru Mkuu.
Tukio limetokea Mzumbe University main Campus (Morogoro). Huyo kijana aliyeuwa ni kibaka,alibambwa jana akijaribu kufanya Udokozi kwenye moja ya hostel za wavulana.
Wapigwe tu...tumechoka
Hivi hapo kapigwa au kauawa...??
Toa taarifa kamili. Huyo ni nani na nini chanzo cha kupigwa chake? Yupo hai au ameshafariki dunia? Amepigwa na wanafunzi wa Mzumbe University waliopo chuo kipi, Mbeya, Morogoro au Dar!?
Mzumbe zinaibiwa sana laptop na nguo mim mwenyewe nilishapata majanga ya nguo, watu wamechoka kulizwa
SAUT Mwanza kuna kubaka tulimfanyia unyama zaid ya wanyama wanavyo fanyiana huko polini, tilipiga alilia mpaka alianyamaza mwenyewe.
SAUT Mwanza kuna kubaka tulimfanyia unyama zaid ya wanyama wanavyo fanyiana huko polini, tilipiga alilia mpaka alianyamaza mwenyewe.
Laptop ina thamani na uhai wa mtu? Hata kama ni kibaka mkamateni mpelekeni kwenye vyombo husika vya mafunzo kuua sio dawa ya wizi sana sana mtaendeleza beef kati ya wanafunzi na raia.
Mara nyingine njia hii huwa ni njia sahihi pale ambapo njia tuzijuazo kuwa sahihi zimeonyesha kushindwa. Polisi pamejaa rushwa, mahakamani ndo kabisaa. Vitu vyetu vinaibiwa wanaoiba tunapowakamata na kuwafikisha panapohusika huachiwa kwa vigezo visivyo na msingi ( kukosekana ushahidi, kufananishwa, kutoroka, yupo nje kwa dhamana, kesi yako ilitajwa mara tatu hukutokea n.k)
Bahati mbaya watu walewale warudipo mtaani hujitamba na kurudia matendo yale yale, kitendo kama hiki kifanyikapo ni salam tosha kwa wahusika kwani tukiwapelekea mnawaachia..... subirini watakaokuwa wanawaletea sisi tunamalizana nao huku huku!