Damu ya huyo kibaka itakuwa juu yao. Auae kwa upanga atakufa kwa upanga. Tumepewa amri "Usiue". Hatujaambiwa kuwa tunaruhusiwa kuua kwa sababu fulani!! Huu ni unyama tu. Comparing material things to the life of young man!!! Mngempiga sana ingekuwa fundisho kuliko mlivyoomuua. Anajifunza nini wakati kafa!!!!
Huyo ni kibaka maarufu pale mzumbe university main campus, alikuwa hodari kwa kukwepua vitu vya wanafunzi . Leo amebambwa na kuuAwa