Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,944
- 142,054
Mkopo wa elimu ambao baadaye utarudishwa hakuna mantiki katika kumnyima mkopaji, hususan kama mkopaji mwenyewe anakopesheka.Kuna wengine wamesoma kwa ufadhili hizo shule za kulipia na nimasikini wa kutupa... Wazungu ndo wamemfikisha chuo wameamuacha hapo ajitegemee....
Ushauri mzuri!Uwezo wa wazazi au walezi usiwe kigezo cha wanafunzi kupewa au kunyimwa hiyo mikopo.
Uwezo wa wazazi au walezi labda uwe moja ya vigezo kwenye grants na scholarships huko. Mikopo hapana.
upo sahihiMkopo wa elimu ambao baadaye utarudishwa hakuna mantiki katika kumnyima mkopaji, hususan kama mkopaji mwenyewe anakopesheka.
Watofautishe kati ya student loan, grant, na scholarship.
Tatizo ni uhaba wa pesa. Hawana pesa za "kumkopa" kila anayehitaji mkopo. So, wanaprioritize wale waliosoma shule za kata, wakiamini kwamba aliyesoma Feza Boys and the like hahitaji kukopwa chochote
Hili jambo la wanafunzi wanaotaka kusoma elimu ya juu kunyimwa mkopo mimi silielewi kabisa.
Mkopo wa pesa ni pesa ambazo mtu anakuazima kwa makubaliano ya kwamba utazirudisha kulingana na masharti mliyoafikiana.
Kwa hiyo, nijuavyo mimi, mkopo hurudishwa.
Sasa tujenge kwa hawa wanafunzi wanaonyimwa mkopo.
Sielewi kwa nini wanyimwe ilhali watakuja kuurudisha tena na riba juu yake.
Ningeelewa endapo ingekuwa ni scholarships, grants, n.k., ambazo labda zinalenga katika kuwasaidia wanafunzi wasiojiweza kiuchumi.
Hapo nisingekuwa na kabisa kwa sababu grants na scholarships ni msaada ambao kwa kawaida huwa hauna matarajio ya kurudishwa, at least siyo kwa njia ya fedha kama ilivyo kwa mkopo.
Sasa hizi habari za watu kunyimwa mikopo kisa sijui wamesoma shule za watu wanaojiweza kiuchumi, haziingii akilini kabisa.
Mtu anayejiweza kiuchumi kwa nini umnyime mkopo? Aliye na uwezo kiuchumi na aliye na uwezo mdogo kiuchumi ni yupi kati yao mwenye mwelekeo mzuri wa kuulipa huo mkopo?
Mikopo ya elimu inapaswa kuwepo kwa yeyote yule atakayetaka madhali katimiza tu sifa zilizo za msingi kabisa: ana sifa ya kusoma chuo, keshadahiliwa na chuo, n.k.
Uwezo wa wazazi au walezi usiwe kigezo cha wanafunzi kupewa au kunyimwa hiyo mikopo.
Uwezo wa wazazi au walezi labda uwe moja ya vigezo kwenye grants na scholarships huko. Mikopo hapana.
Sio kipaumbele chao, I guess. Jamaa yeye ananunua ndege na kujenga airports. Hata za kulipa wakulima wa Korosho ishakuwa issueWanakubali kuwa hawana pesa au wanazuga tu?Kwa nini wasiingie makubaliano na mabenki mengine?
Sio kipaumbele chao, I guess. Jamaa yeye ananunua ndege na kujenga airports. Hata za kulipa wakulima wa Korosho ishakuwa issue
Ukishamaliza kazi ya box kwa kuwa huko hakuna vijiwe vya udaku unakuja kupumzikia watu humu.Mkopo wa elimu ambao baadaye utarudishwa hakuna mantiki katika kumnyima mkopaji, hususan kama mkopaji mwenyewe anakopesheka.
Watofautishe kati ya student loan, grant, na scholarship.
Ukishamaliza kazi ya box kwa kuwa huko hakuna vijiwe vya udaku unakuja kupumzikia watu humu.
Unaleta mada ambayo hata kitoto kidogo kina majibu yake.
Mmeanza kucheleweshewa posho [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] akili zinarudiHili jambo la wanafunzi wanaotaka kusoma elimu ya juu kunyimwa mkopo mimi silielewi kabisa.
Mkopo wa pesa ni pesa ambazo mtu anakuazima kwa makubaliano ya kwamba utazirudisha kulingana na masharti mliyoafikiana.
Kwa hiyo, nijuavyo mimi, mkopo hurudishwa.
Sasa tujenge kwa hawa wanafunzi wanaonyimwa mkopo.
Sielewi kwa nini wanyimwe ilhali watakuja kuurudisha tena na riba juu yake.
Ningeelewa endapo ingekuwa ni scholarships, grants, n.k., ambazo labda zinalenga katika kuwasaidia wanafunzi wasiojiweza kiuchumi.
Hapo nisingekuwa na kabisa kwa sababu grants na scholarships ni msaada ambao kwa kawaida huwa hauna matarajio ya kurudishwa, at least siyo kwa njia ya fedha kama ilivyo kwa mkopo.
Sasa hizi habari za watu kunyimwa mikopo kisa sijui wamesoma shule za watu wanaojiweza kiuchumi, haziingii akilini kabisa.
Mtu anayejiweza kiuchumi kwa nini umnyime mkopo? Aliye na uwezo kiuchumi na aliye na uwezo mdogo kiuchumi ni yupi kati yao mwenye mwelekeo mzuri wa kuulipa huo mkopo?
Mikopo ya elimu inapaswa kuwepo kwa yeyote yule atakayetaka madhali katimiza tu sifa zilizo za msingi kabisa: ana sifa ya kusoma chuo, keshadahiliwa na chuo, n.k.
Uwezo wa wazazi au walezi usiwe kigezo cha wanafunzi kupewa au kunyimwa hiyo mikopo.
Uwezo wa wazazi au walezi labda uwe moja ya vigezo kwenye grants na scholarships huko. Mikopo hapana.
Nilitaka kukuwahi kwa kusema kwa kuwa mtoa mada ni chama tawala kindakindaki,basi sichangii sana maana mboni zake sasa zimeanza kumuonesha uhalisia.akili zitakurudi tu taratibu.
Mkopo sio msaada. Kiposha wote, kisha waambie warudishe.Anaetoa mkopo anatoa kipaumbele kwa waliosoma Kayumba ambao inaaminika hawana uwezo kama waliosoma private schools.