Wanafunzi kumi bora kitaifa kwenye matokeo ya kidato cha nne 2019

Tatizo ndugu zetu waslamu hawapendi kuambiwa ukweli

Hapa watakuja watakuvamia aisee
Mimi mwenyewe muislam, na ukweli nao NI uteule wa Mungu nasema hivyo Jana baada ya baada ya kuona matokeo ya kidato Cha nne mtandaoni kupitia Jamii Forum, ilibidi nimua galizie binti yangu naye NI miongoni ya hao wenye matokeo naye akawpigia simu wanafunzi wenziwe anao soma nao wake nao washuhudie matokeo. Wafunzi kumi watano waislamu, watatu division 4, wawili zero. Watano wa kiristo watatu division 2 wawili division 3, ndio hapo nikaanza kujiuliliza sisi waislamu tumekwama wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana, sikufeli!

Darasa la saba, nilichaguliwa kwenda shule ya ufundi Tanga Tech, na baadaye Form four, nilichaguliwa kwenda DIT kuchukua Diploma ya Computer, na baadaye nikaendelea na bachelor, na sasa ni System Developer!

Nisamehe sana kama nimeeleweka vibaya, lakini nilitaka kumaanisha kwamba, serikali inabidi ifanye kitu cha 'kiserikali', ili angalau kama jamii tuneemeke na ufaulu bora wa wanafunzi hao!!

cc: JUAN MANUEL , Iselamagazi , Lyamber
Taja mwaka wapi upo wapi schoolmates kibao humu. Labda unachoma mahindi je

Msiwe na mnaandika utumbo utumbo kwa mfano. Mkurugenzi mkuu wa Tanesco Mwinuka Form Four alikuwa Tanzania One wakati wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usishangae hao top 10 wataenda were mpaka vyuo vikuu halafu utawakuta mtaani wanalia ukosefu wa ajira. Huyu aliyefeli ataanza kupambana kama mfugaji, mkulima, fundi mchundo, dereva, konda, machinga, n.k. hadi top 10 anamaliza masomo, utakuta failure alishaanza na kumudu maisha na si ajabu top 10 akaomba kibarua kwa failure.
 
Mabadiliko haya yameleta jicho baya tena kubwa sana tu kati ya English media schools, Private schools, Missionary schools na Gov schools ingawa hakuna anayetaka kusema hivyo ila basi tu wafanye nini.
Hakuna shule ya Secondary ambayo sio English medium mkuu. Kuweka records sawa labda hamuelewi maana ya English medium.. Tukisema "English medium" inamaanisha ni Kiingereza kinatumika kama nyenzo ya kufundishia (sina uhakika na neno nyenzo kama ndio lugha sahihi).

So ninavyojua mimi hakuna Secondary wanayotumia Kiswahili kufundishi bali zote wanatumia Kiingereza. So huwezi kusema kuna Secondary za English medium n.k maana zote zinatumia English kama "media" yakufundishia.

'English' is used as the 'medium' of Instruction.
 
Taja mwaka wapi upo wapi schoolmates kibao humu. Labda unachoma mahindi je

Msiwe na mnaandika utumbo utumbo kwa mfano. Mkurugenzi mkuu wa Tanesco Mwinuka Form Four alikuwa Tanzania One wakati wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wakurochi hakuna sehemu nilioonyesha kutofurahishwa na ufaulu mzuri wa wanafunzi bora!!

Isipokuwa nimewapongeza mno, lakini pia nikichangia mawazo huru, kuwa hili swala la ma BS serikali inabidi iliboreshe zaidi ili liwe na manufaa kwenye jamii kwa ujumla, kwani kwa sasa ma BS hawa wanaishia kutajwa tu, na mwisho wa siku wanakuwa na mwisho usioeleweka kwa jamii!

Naombeni msinielewe vibaya, kwani sina lengo lolote lisilo zuri.

Mwisho, binafsi sikuwahi kuwa TO! Na nilichokitaja kuhusiana na elimu yangu ni cha ukweli, na sidhani kama ninaweza kumwaminisha kila mmoja!

Asante!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom