Wanafunzi hawasomi kilimo kama somo la lazima-sera ya taifa Kilimo kwanza

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Wanamaliza form 4,wanakuja kuendesha Bajaj,pikipiki ,wamejaa mitaani matokeo ni Ajali ! tungewapatia elimu ya kilimo hata wabaki na maarifa ambayo ni halisi ,mipango ya nchi yetu kweli ina uhalisia ,leo hii watoto wa vidato vya 4,6,!hawafahamu hata kutengeneza bustani!nauliza ni Kilimo kwanza Au Bajaj kwanza!
 
Back
Top Bottom