Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,752
- 7,245
Divisheni ziro ni nickname tu na tafsiri yake halisia ni "Failed" (FLD)... yaani umepoteza muda tu na wewe hauna tofauti na Darasa la saba ila ni darasa la saba uliyechangamka.Hata Rais wa Nchi moja Africa mashariki alipata zero,wenye koneksheni watajiendeleza kwa kozi za kuungaunga alafu waanze kuupiga mwingi kama mama Samia.
Mueleweshe huyo... maana naona kajibu kwa hasira sana! Watu wa namna hiyo hawafai kabisa kuwa wazazi au washauri.tofauti ipo ndugu
kwanza inategemea na four mana ana uhakika wa kupata cheti hata kupata chuo kuomba kama veta zero imetoka hio labda arudie tena kama private candidate
Unazani kila mtu ana kipaji kama cha almasi?Kwan Diamond ana division ngap
PweintiWalaio pata Div 1 wanaenda wapi baadae? Hawa wa Zero wakikomaaa watakuja kuajiri wenzao wa Div 1
Nasikia Physics bado ni tatizo. Ila angalia shule kama Kemibos wote wamepata A ya Maths, Biology, Civics, KHistory, KiswahiliKuna diplomasia
Uhamiaji
Kurasini
ZIMEPAKANA HIZO
Watoto wanakula bangi kama.chakula.
Mwalimu jichanganye wanakudunda...yaani hata class ukimshikia fimbo mwanafunzi wanakusaka nje ya shule wanakupiga hatari.
Ulizia walimu hapo
Kuna mmoja alimfata mwalimu akamwambia upo kwenye list kaa kwa kitulia usifatilie watu
.....nakaa maeneo ya karibu na hizo shule....
WATOTO NI WAHUNI KULIKO MAELEZO.
tena nahisi hayo matokeo wamestandadaiz.halali halali hamna wa kupata 3 pale.na woote hao walimaliza la saba kwa ufaulu wa A$B
Teh teh teh, theoretically inawezekana.Walaio pata Div 1 wanaenda wapi baadae? Hawa wa Zero wakikomaaa watakuja kuajiri wenzao wa Div 1
Ulaya ipi?Masomo mengi sana inabidi toka darasa lq kwanza mpaka form six masomo yawe mawili tu kama ulaya
Wanafunzi 1000 wamefeli
safari hii NECTA wamefanya vizuri sana tena sana kuacha mchezo wa kutangaza shule bora na mwanafunzi bora.Huu ujinga umetoa wapi wakati necta hawajatangza shule bora wala wanafunzi bora?
Wengi tu wametusua kimaishaHata aliyepata 4 ana utofauti gani na 0? Aaaaah
Mbona waliyohitimu veta wengi wao wanajuwa kukabiliana na hali ya mtaani,kuliko mwanafunzi ametoka udsm hana skills yoyoteVeta
Na wengi wao hao wenye 1 na majoni kisomo uraiani wanahangaika kwerikweriMaisha ni fomula sio Division na Kupata ziro sio kuwa na ziro maishani.
Unaweza ukawa na 1 mtaani ukaliftiwa na 0.
Akili mkichwa, division 0 ana alternative! [emoji119]
Wote wakifaulu mjini tutakosa mboga.
Ukitaka mambo yaende fanya kazi na ambaye hajasoma, kwani
wasomi wengi akili yao imelala, ni wavivu wa kujitoa. [emoji119]