Wanafunzi hawa wa vyuo vikuu watamkumbuka sana Lowassa

Wamechaguliwaje kujiunga na vyuo husika bila kua na huo ufaulu unaousema?

Sio tunabisha tu,kuna vigezo vingi vinavyoangaliwa kwenye kutoa mikopo sio ufaulu peke yake,kuna watu secondary wamelipiwa ada mamilioni then wanakuja kulalamika kulipa ada ya vyuoni
 
Leo nimeshuhudia wanafunzi wa vyuo vikuu waliokusanyika Bodi ya Mikopo wakidai kupatiwa mikopo huku wakijibiwa kuwa hawawezi kupata mkopo kwasababu hawana sifa za kupata mikopo.

Hii ndio tofauti kubwa kati ya CCM na UKAWA ambao wao UKAWA waliahidi, kupitia Lowassa, kutoa elimu bure mpaka chuo kikiuu.

Pole sana vijana hii ndio CCM ambayo haiwezi kubuni sera rafiki kwa mtanzania masikini mpaka kwanza CHADEMA wazibuni sera hizo alafu wao waje ku-copy na ku-paste kama kawaida yao.

Wageweza? Zilikuwa swaga za campaign tu
 
habari za lowasa na wapambe wake zilishasahaulika kitambo. wala usipoteze muda.

Back
Top Bottom