Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,198
- 162,736
Leo nimeshuhudia wanafunzi wa vyuo vikuu waliokusanyika Bodi ya Mikopo wakidai kupatiwa mikopo huku wakijibiwa kuwa hawawezi kupata mkopo kwasababu hawana sifa za kupata mikopo.
Hii ndio tofauti kubwa kati ya CCM na UKAWA ambao wao UKAWA waliahidi, kupitia Lowassa, kutoa elimu bure mpaka chuo kikiuu.
Pole sana vijana hii ndio CCM ambayo haiwezi kubuni sera rafiki kwa mtanzania masikini mpaka kwanza CHADEMA wazibuni sera hizo alafu wao waje ku-copy na ku-paste kama kawaida yao.