Wanafunzi Hawa Bwiiii, Hivi Shule zipo kweli?

Wanafunzi Hawa Bwiiii, Hivi Shule zipo kweli?

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
302872_502295449788098_979467276_n.jpg
 
...huna haja ya kusikitikia watu kama hawa coz huwezi jua kwa jinsi utanadawazi unlivyo enea,usije shangaa kusikia ya kwamba kuna shule ya kujifunza kunywa pombe...
 
Hapa kwetu, mtu anakupigia value na viroba na bado matango pori yanaenda!
 
dah nataman angelewa ivxm mida ya saa6 usiku tkiwa wawili tu bar,
 
itakuwa ni igizo hilo Bwana old Goat, mtu alewe hadi abebwe na bado aweze kubeba chupa mkononi hivyo? Ingeshaanguka hiyo
 
itakuwa ni igizo hilo Bwana old Goat, mtu alewe hadi abebwe na bado aweze kubeba chupa mkononi hivyo? Ingeshaanguka hiyo

Mlevi huwa haangushi pombe yake hata Kama hawezi kutembea
 
Back
Top Bottom