Wanafunzi form 4 wagomea mtihani feki!polisi wapiga mabomu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi form 4 wagomea mtihani feki!polisi wapiga mabomu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BONGOLALA, Aug 18, 2011.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,486
  Likes Received: 1,850
  Trophy Points: 280
  elimu ya tanzania sasa yawa ya kitapeli!waliwatapeli watoto wa kibaha sasa watoto wa vijibweni kigamboni!wanafunzi wamepewa mitihani maths na civics ambayo ilishafanywa arusha huku ikiwa na mapitio ya pencil ya kuwa ilishafanyika.wanafunzi walilipa sh 12000 badala ya sh 7000 za halali kwa mkoa wa dsm!source nipashe
   
 2. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 9,631
  Likes Received: 5,132
  Trophy Points: 280
  Kasheshe,ni uvivu wa kutunga au?
   
 3. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #3
  Aug 18, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sio hao peke ya yao waliofanya paper feki hata kituo kimoja binafsi huko maeneo ya Sinza kinaitwa Tanganyika nacho ni wizi mtupu.
   
Loading...