wanafunzi bora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanafunzi bora

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ms mashaba, Aug 15, 2012.

 1. M

  Ms mashaba Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jameni nashindwa kuelewa kuhusiana na mafanikio wanayoyapata wanafunzi wetu. serikali yetu naona kama haiko makini katika kuwatambua mchango wa vijana hawa. miaka fulani iliyopita wanafunzi hawa walipewa zawadi nzuri kama vitabu, na wengine walipewa scholarship pamoja na kula dinner na raisi. but since mwaka 2007 sijawahi kusikia wanafunzi hawa wakidhaminiwa kama miaka iliyopita. lakini leo ndo nasikia wamepelekwa bungeni( form 6-2012).
  je hapo kati kati serikali ilikuwa wapi?. inauma sana pale serikali inapofanya ubaguzi fulani.

  mimi nilishashuhudia mmoja wa wanafunzi ilipata hamasa ya kuwa miongoni mwa wanafunzi bora miaka iliyopita. akajitahidi kweli akawa miongoni. but serikali yetu ilimvunja moyo kabisa kwani hakudhaminiwa kabisa.

  ushauri wa bure kwa serikali wajitahidi kuwasaidia vijana hawa kwa hali na mali ili kufanikisha malengo waliojiwekea. Pia wapelekwe kwenye vyuo vya kimataifa na bora kwa sababu wakipata elimu bora watasaidia maendeleo ya nchi yetu.
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wewe sio mfuatiliaji ndio maana hujui
   
 3. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwa kumbukumbu zangu 2010 na 2011 walidhaminiwa pia sijui huko nyuma ila nadhani labda hawakutangazwa sana.
   
 4. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,134
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mwanafunzi bora? Km ni wa kike njoo nikupe zawadi unazotaka!
   
 5. t

  tan 90 Senior Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kweli kabisa. . .mwaka jana walienda bungeni pia. . .na wengne walipata udhamini. . .aisee jamaa yupo nyuma ya jua kwelikweli.
   
 6. M

  Ms mashaba Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ni wa kiume. utampa zawadi?
   
Loading...