Wanafunzi 600 tu kati ya 7000 chuo kikuu UDSM

Wanafunzi 600 tu kati ya 7000 chuo kikuu UDSM

hii ni hali ya hatari kwa taifa kwa upande wa elimu hususani kwa watoto wa wasakatonge ,watakuwa wanasoma wachache sana!
 
huoni Wema kavuta kitu mpya!!!!
Hapa Kazi tu, mkopo kaulize waliokuzaa.
 
jamani niko hapa DUCE wanafunz wamekata tamaa hatar mfano watu 56 tu wanaosoma BAED ndio waliopata mkopo ....its shame to the responsible authority

Aisee watoto watalika sana hapo
 
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wengi wakosa mikopo vyuo vikuu.

''Hapa Kazi tu''-Mnadhani Magogoni kunatengenezwa pesa?. Waulizeni baba zenu pesa tulizotumia kwenye Kampeni ziko wapi watumie kulipa Ada!

 
hapa kazi tu. wezenu wamegawana pesa za ESCROW kwenye mifuko watoto wao ulaya kusoma, nyie watoto wakutegemea mkopo enderehen kusubili second round mwaka mzn kazi kweli.
 
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wengi wakosa mikopo vyuo vikuu.
mliambiwa mumchague lowassa mkajidai vichwa ngumu, hamna rangi mtaacha ona. Hapo bado subirini mfike chuoni!!

Na ccm hii na kila mtu abebe zogo lake!!
 
HAPA KAZI TU

MMEAMBIWa PESA ZIPO ATATUSAIDIA PELEKNI MAOMBI
 
Kucheeeee!! Tulishindwa kwa kura sasa mtaandamana tu!! Ingawa kiukwel bodi haipo makini hata kukusanya kwa wale wanufaika. Tingatinga aanzie hapo kuna mawaziri walimu polisi wanufaika ila kulipa hawataki
 
Back
Top Bottom