Wanafunzi 24 wafariki kwenye moto nchini Malaysia

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,500
9,279
Takriban wanafunzi 24 na walimu wamefariki kwenye moto katika shule moja ya kidini kwenye mji mkuu wa Malaysia Kuala Lumpur.

Moto huo katika shule ya Tahfiz Darul Quran Ittifaqiyah, ulitokea mapema asubuhi leo Alhamisi.
Waathiriwa wanakisiwa kukwama kwennye mabweni yao kwa kuwa madirisha yalikuwa yamefungwa na vyuma.

"Hi ni moja tu ya majanga mabaya zaidi ya moto katika kipindi cha miaka 20 iliyopita," mkurugenzi wa idara ya moto aliliambia shirika la AFP.

Taarifa za awali zilisema kuwa ziliweka idadi ya waliofaniki kuwa 25 lakini polis baadaye walisema kuwa wale waliofariki na 24.

Polisi walisema kuwa wanafunzi 22 wote wa kiumue walio kati ya miaka 13 na 17 na wafanyakazi wawili ndio walliofariki. Watu 10 walipelekwa hospitalini na wenginen wanne waliripotiwa kuwa na majeraha mabaya. Shule za dinia ya kiislamu ambapo watoto hujifuza Koran, wanafunzi mara nyingi huishi shuleni.

Picha na video zinazosambaa katika mitandao zilionyesha eneo lote la juu ya shule likiwa limeshika moto.
Polisi wanasena kuwa bado wanachunguza kile kilichosababisha moto huo huenda ulissbabishwa na hitilafu ya umeme au dawa ya kuchomwa ya kuzuia mbu.

Waziri wa nyumba nchini Malaysia anasema kuwa kumekuwa na visa 29 vya moto katika shule za tahfiz nchini humo tangu mwaka 2015.

BBC
 
3aa360a5208b43075e1497a140cdfca0
malaysia-school-fire-620x413.jpg
920x920.jpg
 
Innalliah wainaillah rajuun
 
Back
Top Bottom