Wanafunzi 218 mkoani Shinyanga walikatiza masomo kutokana na ujauzito 2020-2022

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,615
Hayo yameibuliwa katika kikao cha kutathmini utekelezaji wa mpango mkakati wa kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto (MTAKUA) katika Wilaya za Shinyanga na Kishapu mkoani humo

Aidha, Mratibu wa MTAKUA Wilaya ya Kishapu, Mwajuma Abeid ameitaka Jamii kuachana na mila na desturi potofu za kuwaogesha dawa za mvuto watoto wa kike, jambo ambalo linasababisha wanafunzi wengi kushindwa kumaliza shule ikiwemo kukatisha masomo kisa ujauzito.
 
Back
Top Bottom