Wanafunzi 184 wapewa mimba Bahi-Dodoma

Wanafunzi 184 wapewa mimba Bahi-Dodoma

Kwa hiyo tuna watu 184 wana subiri vifungo virefu?
Hapana ni zaidi ya hao. Baba na Mama wa binti, Baba na Mama wa kijana, kijana na binti wanaohusika katika kadhia hii (haya yalikuwa maagizo ya wanasiasa wetu kuhusu mimba za shuleni)
 
Nadhan huu umri wa kuongeza n'a kuijaza dunia unachangamoto n'a ndio uumbaji ulivyo ! Tufarahie kiumbe kipya kinazaliwa duniani
 
Back
Top Bottom