Wanadiaspora.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanadiaspora....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jestina, Jul 10, 2012.

 1. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  tunakosea wapi?mbona tukirudi kujenga nchi tukiingia kwenye siasa hatukubaliki??mfano dr shayo hakufika mbali kisiasa,william malecela anapigwa vita humu kila siku,pamoja na suzan mzee...nini tatizo mlioko nyumbani? ni wivu au nini???lol :israel:
   
 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kwa nini siasa iwe kwa 'waliobaki nyumbani' peke yake? i thought its a free country anybody can do anything as long as havunji sheria....
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,264
  Trophy Points: 280
  ID yako ya siku zote iko wapi?

  [​IMG] caren32

  Today 10:22

  #1 [​IMG]

  [​IMG] Junior Member Array


  Join Date : 10th July 2012

  Posts : 2

  Rep Power : 0

  Likes Received0
  Likes Given0  [h=2][/h]
   
 4. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Matola bwana,nijibu basi nilichouliza....:redface::redface::redface::eek2:
   
 5. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,672
  Trophy Points: 280
  Wengi wenu hamna jipya zaidi ya kujifanya mmesahau kiswahili.
  Kukaa nje ya nchi si sababu ya wewe kuweza kuja kukubalika na watanzania kwani Watanzania waleo siyo wale wa miaka ya 47 so wanakupima wajue kama una muelekeo wa mawazo chanya kama mawazo yako ni yale ya kutaka kulipa fadhila kwa chama kilichokulipia masters yako.....UNAPIGWA CHINI TU.
  Rudi nyumbani na wewe ujaribu bahati yako.
   
 6. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kwa hio,mtu kama anataka aje kugombea ubunge...akija aingie chama ambacho ni mbadala na serikali sio?au sijakupata...?
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,264
  Trophy Points: 280
  Lazaro Nyalandu ni Diaspora na ni waziri, Masha ni Diaspora alipewa Uwaziri akashindwa kazi, Janualy Makamba ni Diaspora amepewa uwaziri.

  Kilichopo nadhani swala siyo chuki bali, mtu kama William Malecela anapaswa Bongo aendelee na fani yake ya mambo ya marine Industry, usidhani kila mtu ana wito wa leadrship.

  Labda tu nilichokigunduwa mimi Diaspora wengi wanaimudu sana fani ya Entertainment ndio maana Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba wanafanya vizuri katia anga hiyo.

  Tukumbuke siasa au Leadership siyo vitu vya kuja na pozi za yo yo yo yo!! hapana ndugu hatuendi hivyo. Mzee Mwanakijiji ni Diaspora lakini nadhani ndio mtu anayeongoza hapa JF kwa kukubalika, kwahiyo Diaspora siyo issue, issue ni kwamba hatuitaji fake product that's it!
   
 8. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,672
  Trophy Points: 280
  Huwezi nipata kirahisi sababu na wewe si ndiyo wakina dadaspora soma tena taratibu..
   
 9. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Ulishaoana wapi Wtz wakasema huyu anafaa bila kuwa na maslahi naye? pili mliopo ughaibuni mnazidi kujikweza zaidi ya kufananisha mazingira ya huko mliko bila kujiuliza hao walifikaje hapo walipo zaidi ya propaganda. Inabidi kwanza mjishushe ili kufit in katika jamii mnayotaka kuitumikia vinginevyo kwa kujikweza na mifano mingi ya marekani bw, uk bw or wherever, vi vingumu sana kukubalika. Kingine kabla ya kutaka kuja kuongozo onyesheni mifano ya uchungu mlionao kwa wananchi wa vijiji mvilivyotoka kwa kuwasaidia hata kwa kujenga visima au shule siyo kukimbilia madaraka. Kukaa tu nje hakujustify wewe kuwa na uzoefu wa kuongoza.
   
 10. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni hilo kwenye red. Mtu mwenye nia na uwezo wa kujenga nchi hahami alikotoka akaja kukimbilia kujiunga na siasa. Tunatarajia wanaorejea kutoka uhamishoni kwa kuja kujenga nchi watakuwa ama ni wataalamu wa fani fulani, au wenye uwezo wa kifedha, au wale walioshindwa na maisha huko, kwa hivyo kuja kujiunga na vyuo vikuu, kufungua biashara au kuanza maisha upya.

  Katika hali za kawaida, wanaotoka nje na kurejea nchini wasiokuwa na nia hizo tatu hapo juu na badala yake kuja kujiunga na siasa, shamba la bibi, hawa hawana nia ya kujenga nchi bali kutafuta fursa ya kutafuna nchi. Watanzania wameshawashitukia.

  Kushindwa na maisha nje si jambo geni, kwani nje kugumu. Sasa kwa wale walioshindwa, kwa nini wasijiunge na Watanzania wengine kujenga taifa na badala yake wajiingize kwenye siasa?
   
 11. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hapo nilipobold kwa hio mkuu huwezi kujenga taifa ukiwa kwenye siasa?
   
 12. a

  alles JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 14, 2006
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  wengi hawapendi kujishusha na kusoma mazingira yao na kuanzia chini ili kujenga base, wanapenda kuanzia nafasi za juu mfano W.Malecela (Le mutuz)kutaka kuingia Bunge la EAC.Wanasahau kwamba watanzania wa sasa sio wale wa enzi za "mwalimu". Nafikiri mwanadiaspora yoyote atakayeenda bongo na kuchukua time kusoma mazingira huku aki-share experience yake ya nje na wenyeji anaweza kufanikiwa.
   
 13. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mbona wengi wanafanya vizuri na tunawakubali sana? Usiwe na mtazamo wa siaa tu? Diaspora tunawategemea kwa uzoefu mlioupata huko kwenye nchi zinazoendelea. Sasa cha kushangaza wengi mnataka muingie kwenye siasa wakati mlikuwa Maengineer, Doctors, Wahadhiri vyuo vikuu, wabeba mabox nk. Nafikiri huu uzi wako umeuweka kiumbea zaidi.
   
 14. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  nilipobold,na hilo ndilo linalowauma watanzania walioko bongo,wako hapo siku zote wasigombee hizo nafasi wakiona mwenzao katoka ulaya na kugombea nafasi wanampiga vita.hivi hao diaspora waliokuwa successful akina Masha,nyalandu kwani waliaanzia chini??
   
 15. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  walaaaa,najipanga kuja kugombea ubunge lol,sitaki kukosea kama walionitangulia,hivyo ni muhimu kujua wapi tatizo...
   
 16. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Swali kwa swali, hakuna njia nyengine ya kujenga nchi isipokuwa ndani ya siasa?
  Hebu soma hii ya Lyimo:
  Kwa nini wasiendelee na taaluma au uzoefu wao, ambapo utendaji wao unatoa tija za wazi zaidi kuliko "kuunga mkono hoja mia kwa mia na kupinga hoja?"
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #17
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Kaa uelewe wanatoka nje huwa wanakuja kuchungulia tu na wakikosa wanarudi hukohuko nje, hawapendi kukaa na wapiga kura angalau kwa miaka kujua matatizo yanayowakubali.
   
 18. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Unajua Masha aliwezeshwa na nani kupata ubunge 2005?
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,264
  Trophy Points: 280
  Ni nani anayeweza kukubali au kumuamini mtu wa namna hii!? usiropoke tu bila kuwa na Fact, huyu anakaribishwa sana kwenye Bongo movie kule atafit sana.

  [​IMG]
   
 20. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mkuu kwa hiyo km wewe ni mwanadiaspora ni lazima uwe na watu wa kukuwezesha??natafuta majibu nione kama nitaweza huo mlima 2020 au la lol
   
Loading...