mi mbongo ....nina makanyagio zaidi ya hayo!! mbona totoz zinaniogopa? wanadhani na rejao atakuwa kama hayo makanyagio!!Kumbe mzungu!!
Afu ungesema wanadata na makanyagio yangu sio miguu.
ngoja nianze kusaka noti! na ile mijimama yenye hela zao huwa yanafuata nini kwa dogo dogo!!totoz za bongo zinaangalia wallet eti sio kanyagio hata wao wanazo loh?
mi mbongo ....nina makanyagio zaidi ya hayo!! mbona totoz zinaniogopa? wanadhani na rejao atakuwa kama hayo makanyagio!!
totoz za bongo zinaangalia wallet eti sio kanyagio hata wao wanazo loh?
Atakuwa na mtarimbo wa kufa mtu.
mmmh sidati na kanyagio mweee??????? Ila wallet dah naweza kusmile