Wanachuo wote waliowahi kusoma na wanaosoma UDSM tuandamane kwa kudhalilishwa kwa Dr. Shukuru Kawambwa

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,915
29,596
Mzuka wanajamvi!

Haiwezekani mzee profesa na aliyehodhi mamlaka na madaraka za juu nchini na kulitumikia taifa letu kwa weledi adhalilishwe na kijana mbele ya camera na kusukumwasukumwa.

Natoa rai kwa wanachuo wote waliosoma na wanaosoma UDSM kwa pamoja tukutane na tuandamane kupinga na kulaani udhalishaji huu kwa msomi profesa na mzee mwenye hekima na busara kurekodiwa na kuitwa dalali wa viwanja.

Vijana tuheshumuni mamlaka, wazee na wasomi wa taifa letu. Kitendo hiku cha professor kudhalilishwa kimelitia doa sana taifa.

Pia tuige mfano mzuri wa Professor alivyotulia bila kubishana na yule kijana mpuuzi.

Professor maintained his cool, local and international exposure and hundle the situation in a conducive manner. He clearly indulged and embarked in a critical anger management manoeuvre and manifesto.

What a character we should learn from this humble gentleman.

Video ya tukio tafadhali, au majina ya professor tumjue na sisi
 
Haya mambo waachie wao wenyewe, watayamaliza wao wenyewe. Kamwe hayakuhusu
 
Wasomi wa tz njaa sana, nakumbuka prof muhongo pale geo department alikua mtu makini sana mwenye weledi sana alikua anaishauri serikali positive things alivyopewa ulaji na kuingia kwenye siasa akawa wa hovyo tu na kupoteza credibility kabisa

Kuna mtu alikua anajenga Hoja kama kitila mkumbo? What happened alivyoonja asali?
 
Haya mambo waachie wao wenyewe, watayamaliza wao wenyewe
We cant let it go easily like that. As a future generation law abiding citizen I loudly condemn this absurd and mediocre attitude towards our professor who dedicated his effort to serve our nation with pride and hard work.

Magonjwa Mtambuka
 
Hao ndio vijana wa kisasa. Hawajali umri wako wala kitu chochote wanaweza hata kukupiga makofi.
Ila nina uhakika sasa hivi anajutia alichofanya.
Na kuna mshenzi mmoja aliwahi mdhihaki Pr kitima mbele ya rais, sasa kwahili hatutaki mzaha tumefika mwisho
 
Back
Top Bottom