Wanachuo wa sauti univesty.

Tidito L

Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
97
Reaction score
16
Hawa wanachuo wamezuiliwa kuvaa suruali kutokana na na sababu wanazozijua wao uongozi,ila majuzi nimetembelea pale yaani nguo (vimini) zinazovaliwa,mi naona bora suruali.
 
Hawa wanachuo wamezuiliwa kuvaa suruali kutokana na na sababu wanazozijua wao uongozi,ila majuzi nimetembelea pale yaani nguo (vimini) zinazovaliwa,mi naona bora suruali.

hicho chuo cha "sauti univesty kilo" nchi gani mkuu
 
Hata mimi nilitaka kuuliza,bt wacha niulize maana kama ni Tanzania sikipati kwenye orodha ya TCU,"SAUTI UNIVERSITY!"
hicho chuo cha "sauti univesty kilo" nchi gani mkuu
 
haaaaaa waache bwana ata wakiamua kuvaa chup na tai tu na kuingia lekcha fresh ili mrad wwaelewe

UUNGWANA/KUJIHESHIMU NA KUJITAMBUA THAMAN NA UTU mtu afundishwi....vnakuja automatically

kuna dhana nyng znazofanya wasichana kuvaa vimbano iwe suruali au sket ..zikiwemo
1.ushamba/ulimbuken..mtu katoka shamba uko shiri matunda sjui wap kigonsera alikuwa anavaa sket ndefuu km sista perprtua kaja twn nae anataka aonekane wa mjin matokeo yake anapitiliza

2utandawaz..mtu anataka atoke na kigaun/kisket kama alichotoka nacho riahana jana

3.ujinga..mtu kudhan akivaa suruali/kimin ndo ataonekana wa mjin saaaaaaana,mjanja sana

4.kukosa maadili...

wanapoteza mda kwa kuweka sheria i cz mtu afundishiw kujieshimu..thou i lyk that principle i wsh wangefanikiwa kufanya watu wajieshimu.
 
Saut kiko kona gani za hii nchi takatifu?
 
aisee mama ni noma naona full kicheni pati asanteee..
 

leo umeongea non sense.
 
Alikuwa na maana ya SAUT sio SAUTI bila shaka alikosea spellings.
 
Wee Rose, mimi nimesoma Chigonsera mbona wenyeji wa kule poa sana tu
 

rosie nitake radhi... mie nimesoma huko kigonsera.....
 
Kama ni SAUT huwa wakati mwengine uongozi unaibua visheria vya ajabu ajabu. Nakumbuka enzi zetu kaptula au pensi kwa wavulana ama wanaume ziliwahi kupigwa marufuku kwenye lekcha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…