Maswali "nani kafanya utafiti huo na iko wapi reference" ni kwamba nawe pia huna hakika kama mie mleta bandiko .....Nani kafanya utafiti huo iko wapi reference? Kiufupi sio kweli no more conversation
mimi sikuwai kupika chuo nashukuru mungu !ila hukufanya poaChuo kuhudhuria lecture sio guarantee ya kufaulu, zinduka wewe
Hadi kufua Nguo [emoji4] sifa ya mwanamke ni usafiulikuwa unapika?
Wala si mchokozi Huo ndio ukweli haswaa, mwanamke unapokua na mahusiano na mwanaume hasa relationship inayo focus mbali unajikuta unajitwika mizigo mingi sana, unachukua nafasi ya mama yake, rafiki zake,ndugu zake,na zaidi unakua mpenzi wake! Hiyo kumpikia ni jukumu la mama yake lakini madhari umejitwika wewe basi unalibeba tu,utampikia utamfulia utamfanyia kila aina ya madoido ili akuamini kwamba you can handle him with all duties you have! Sema nini haya mambo muyafanye kimapenzi zaidi na si kukomoana au uyafanye kwa sifa, mwanaume anayekupenda pamoja na kujitolea koote huko hatokubali ufeli,atakuhimiza mambo mengi tu na kujaribu kukuonyesha maisha nje ya yeye, nashukuru nilimaliza chuo japo si kwa first class [emoji4]Miss mchokozi .... [emoji1] [emoji1] [emoji1] by the way LadyAj njooo huku ujibu
kuna siku mpenzi wangu alilewa chuo nikaja nikaitwa na mamate wake kudeki matapishi sipendi hata kukumbuka yaaniHadi kufua Nguo [emoji4] sifa ya mwanamke ni usafi
Kupanga ni kuchagua, kuamua ni kutekeleza, lazima tuwepo watu wa aina hii ili kuleta utofauti, niliolewa huku mwenzangu anajua radha ya chakula cha mkono wangumimi sikuwai kupika chuo nashukuru mungu !ila hukufanya poa
[emoji23] [emoji23] ndo mapenzi hayo hakika, lakiza utatumika direct or indirectkuna siku mpenzi wangu alilewa chuo nikaja nikaitwa na mamate wake kudeki matapishi sipendi hata kukumbuka yaani
sikulaumu kila mtu amefanya makosa mengi .me too! ila sikupika chuo ila kitaa nilishawai kumpikia mtu sana tu hadi nikaunguaKupanga ni kuchagua, kuamua ni kutekeleza, lazima tuwepo watu wa aina hii ili kuleta utofauti, niliolewa huku mwenzangu anajua radha ya chakula cha mkono wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usinikumushe iyo kitu mama, nikikumbuka nakaaga najiuliza hivi lile jiko la mchina lililonizipukia lingeniunguza uso Leo hii huyu mtu angelikua na mimi au ndo angeniachia pale, ila ndo ivyo tunaji sacrifice sana Ni kuomba Mungu tu mamasikulaumu kila mtu amefanya makosa mengi .me too! ila sikupika chuo ila kitaa nilishawai kumpikia mtu sana tu hadi nikaungua
wewe alikuoa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usinikumushe iyo kitu mama, nikikumbuka nakaaga najiuliza hivi lile jiko la mchina lililonizipukia lingeniunguza uso Leo hii huyu mtu angelikua na mimi au ndo angeniachia pale, ila ndo ivyo tunaji sacrifice sana Ni kuomba Mungu tu mama
Hakika here I'm with himwewe alikuoa?
Nimejikuta nakupenda kwelikweliKupanga ni kuchagua, kuamua ni kutekeleza, lazima tuwepo watu wa aina hii ili kuleta utofauti, niliolewa huku mwenzangu anajua radha ya chakula cha mkono wangu
Karibu nyumbaniNimejikuta nakupenda kwelikweli