Wanachuo mjue kutofautisha UE,IE na CE

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,274
6,592
MJUE KUTOFAUTISHA JAMANI

  • UE-UNIVERSITY EXAMS
  • IE-INSTITUTE EXAMS
  • CE-COLLEGE EXAMS

UTAKUTA MTU ANASOMA IFM AU TIA NAYE ANASEMA ANA UE
1f602.png

Me binafsi naona umekurupuka tu cz university ni sawa ukisema a group of cows is a herd. Ata UD kuna College of business school nk. Ziko nyingi so wao pia waseme CE na sio UE?? Fikiria ilo mkuu
 
Me binafsi naona umekurupuka tu cz university ni sawa ukisema a group of cows is a herd. Ata UD kuna College of business school nk. Ziko nyingi so wao pia waseme CE na sio UE?? Fikiria ilo mkuu
Umekurupuka wewe zaidi sina hakika kama wewe kweli ni mwanazuoni Wa UDSm. Mitihani ya mwisho Wa semister hapa UDSM haiendeshwi kwa level za college ie COET,CONAS,etc wala school ie UDBS,school of law .

Kwa mantiki hii mitihani yote ya mwisho inasimamiwa na kuratibiwa katika ngazi ya Chuo ndo mana ratiba ya mitihani inatolewa kutoka utawala Wa Chuo kizima.

Test zinasimamiwa na College na Schools.
 
eeeh mmetuanza tena sisi wa IFM Na CBE tunaomba mtuache na UE zetu ...
 
Back
Top Bottom